Nilazima mtu azikwe kijijini kwao kuleta heshima kwafilia sio familia yote wanaweza kusafiri kwenda mfano niko kijijini tarime sina kazi yenye kipato kivuri ndugu yangu mauti imemfika daresalam nibora kumsafirisha kuja kuliko kusafirisha familia mzima pia tamaduni yetu mfano watu wamara...
Tusome Yohana 1:1 inasema gapomwanzo kulikuwako neno nayo neno ilikuwa kwMungu nae neno ilikuwa Mungu Navitu vyote vilifanyika kwauyo pasipo yeye akifanyika kitu nae neno alifanyika mwili akakaa kwetu
Tukiongeza nahii Malaika alieleta habari yakuzawaliwa kwaYesu alimwambia mariamu kuwa utazaa...
Wabunge wetu wawe nahekima kuna mambo ambayosisi kama wananchi hatupaswi kusikia ikitolewa nambunge alieaminiwa nawananchi wengi wenye heshima nakua namashaka nae kuongea maneno hayo bungeni sio sehemu yake angeongea nae pembeni
Waraka wapili waPetro 3:3 anasema ukijua kwanza neno hili yakwamba siku zamwisho watakuja nadhiako watu wenye kudhiaki wafutao tamaazao wenyewe 4 wakisema ikowapi ile ahadi yakuja kwake maana tangu mababu zetu vituvinakaa ivyoivyo 6 hawajui dunia yakwanza iliangamizwa kwamaji 7 lakini mbingu...
Wanaosapoti kukamatwa kwa huyu ajifikirie viema mawazo yake kwa muda huu Nivyema tukaomba Mungu viongozi wa nchi hii wapate hekima wajue kuongoza kwa haki na hekima.
Kuna watu kama siwajinga wanatumwa nashetani kumsaidia kazi zake Kusema Mungu hayupo wakati unapumua unaongea unatembea unatumia nguzu gani punzi gani unatumia wanaokufa kwanini wafe? Bila Mungu kukubali uishi auwezi kuishi je milima ilitokawapi miti wanyama bahari mito mikubwa bado unashindwa...
Ndio watu wajue kuwa uwepo waakili wamwanadamu bado nindogo sana Mungu ni Mungu akili zake azichunguziki Mwanadamu asijivune kwachochote kufika apo kwenye sayari aiwezekani mwadamu kufika tumpe Mungu maisha yetu ajeatufilishe mbinguni
Wewe unaesema waache Cdm wavunjwe akilizako aziko sawa unajua maana yamapatano bora kinga kuliko tiba unadhani utabaki salama wewe waulize nchi ambazo Marais wao wajidai wababe kumia polisi matokeo iliwakumba hata wale ambao hawakuunga upande wowote fikiri vyema kabla ujasema
Mara wewe umeomba Mungu akusamehe juu yakosa yako naukahacha kurudia kosa iyo tena kama ulivyoomba msamahaa je wewe umeshakuchukua hatua yakuacha dhambi kama wewe umeacha dhambi wengine je
Jichunguze labda unatumiwa nashetani bila kujua maana madai yashetani tangu mwazo ndoilikuwa ivyo mpaka alipodanganya mwanadamu hata kufa badala yake kutotii sauti yaMungu imesababisha tunakufa sisi wenyewe tulichagua haya tunayoyaona tungemtii Mungu tusingekuwa ivi kuna sayari zingine wanaishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.