Nimekuja Moshi mara moja, niende wapi usiku huu?

Nimekuja Moshi mara moja, niende wapi usiku huu?

Kuna kasehemu kanaitwa Rau Pub ndo habari ya moshi siku hizi na meku's pia japo hapa kuzama ni mwisho wa mwezi tuu ukicheza na meku's hutabakiwa hata na buku ya bodaboda
 
Pub Albeto Malindi Aventure na La liga ni kama unapenda malaya na makelele huko utaenjoy...zumba land uhuru park na Ymca hivi ni viwanja vya juice na kucheza watoto mchana
 
Nenda uhuru pick ukale upepo urelax

Uhuru peak ipo hadi moshi???? Duh!!!! Me nkajua ni hii yetu yuliyoizoea ya kinondoni studio kona ya mwananyamala karbia na meridian.
 
Mkuu nipm nikupe namba za dada yangu akuonyeshe manthali mazuri, ila usimtongoze.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom