Ushauri: Napenda sana wanawake wajawazito

Ushauri: Napenda sana wanawake wajawazito

Habarini wadau,

Nimekuwa mhanga wa hii kasumba ya kupenda sana wajawazito yani nikiona mjamzito naweza ahirisha safari na kumpa lifti mpaka anapokwenda afike. mbaya zaidi, natokea kuvutiwa nao kimapenzi, na kuwatongoza.

Kuna mmoja alinishangaa namtongoza vipi wakati ana mimba yaani alinikubalia huku akilia, na kusema toka amepewa mimba hajawahi kufanya mapenzi, coz aliyempa mimba alimkimbia. Mpaka leo nipo naye, soon anajifungua, na watu wanajua ni mimba yangu.

Nipo njia panda maana, akijifungua hanioni tena.
Mi nipo tofauti mkuu. ! Mi napenda kushika tumbo la mama mjamzito.. Hakya mungu nafikia mpaka nasisimka kabisaaa (sio msisimko wa mapenzi ) yaani nikimuona mama mjamzito nataman hata nimuombe nimshike tumbo lake.. Sema naogopa tu ntaonekana wa ajabu.. !
 
Wewe kama sio shetani unatumiwa nashetani nakama ujui tafuta kanisa lakweli ukaombewe uyo jini hakuache
 
Teh, watu humu mna vituko jamani kila mmoja anapenda mama kijacho kwa stail yake. Angalieni msiwafanye wadada wa jf wakabeba mimba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom