Jibu unachoulizwa kama unakijua waelezee,, jiamini, wape ushilikiano askr kwa kile wanachotaka kutoka kwako, usiwadanganye askr maana ni kosa la jinai, zingatia mda wa kufika na kama kuna tatizo wambie nina tatizo kidogo nitachelewa askr wetu ni waelewa na watakuelewa,, hiv ndo vitu vya msingi...