Kwa nini usisafiri usiku?Hao jamaa nibalaa tupu mwimwenyewe kesho ninasafari ya Mwanza fungu lao nimewatengea 210000 maana najua lazima nina faini saba za uhakika kwasasa kusafiri kwa gari private imekua nizaidi ya anasa

Kuna nchi wanaficha speed camera vile vile huko huko Ulaya. Nje wapi ambako hakuna routine check? Labda wewe hujawahi kusimamishwa ila watu wengi hasa weusi wanasimamishwa bila sababu ya msingi!Ni kweli lakini pale huonewi na kila kitu kipo wazi , pamoja na warning za mfano kupunguza mwendo kwa zaidi ya kilimita moja kabla. Pia kuna warning kuwa sehemu hii ina kamera hivyo punguza mwendo. Hapa kwenyu vibao havipo na unakuta traific kajificha kichakani.
Wala wenzetu hakuna trafic kila kona wana simamisha magari hovyo asubuhi unawaji kazini na Unaanza kudaiwa licence, sijui first aid, sijui triangle, mara leta card ya gari ..nje huwezi kusimamishwa kupotezewa muda wako. Mtu unapanga appointment unafika njiani unasimamishwa uanze kupekuliwa kuonesha kama una jacky hio only in tanzania. Hawajali time zetu
Hata mimi husafiri mida baada ya bendera yetu kushushwa sikuhizi. Raha mustarehe kwa kweli. Mchana karaha tupuKuepusha rabsha, sie tumesafiri usiku wakati serikali ikiwa imelala fofofo.
Kwa nini usisafiri usiku?
Kwanza ume-overspeed no excuse lipa faini. Pili kama umelipa bila kufanya kosa wewe ni zoba! Tatu nani akupangie matumizi ya highway wakati una leseni? Kama uliipata kwa njia za mkato huu ndio muda wa kulipa gharama!
Siunaona umefika salama, hata yule dereva mlevi ambaye ange kusababishia ajali tukakusahau nae alikua anatembea speed 50, bado tunahitaji mchango wako jf fata sheriaWatanzania wengi hatujitambui na bahati ni watanzania kidogo walio na uruma kwa wenzao.
Niendesha gari toka Arusha kwenda Ngara ,nilipofika Babati nikasimamishwa na polisi akasema umepita kibao cha 50 ukiwa na 54 faini 30,000 nikalipa.
Nikatembea taratibu sana kufika Dareda nikakutana na polisi akasema nina picha hapa umepita kibao kwa 50.5 faini. Nikasema we ni mwongo akajibu'tumeelekezwa fedha zote mlizo nazo lazima tuzichue"ni kweli kufika kahama nilikuwa nimeishalipa zaidi ya shill 180,000.
Wananchi nawaakikishia kama hatapatikana mtaalamu wa kutupangia matumizi bora ya hizi speed tena kwenye highway mtanyanyasika sana na tutaendelea kuwa watumwa ndani ya nchi yetu.Najua madereva wengi wanateseka sana.Tunanyaswa na kuonewa bila wenyewe kujua.
Mkuu tatizo hivo vibao vya 30 na 50 viliwekwa tangu enzi za Landrover 108 na 109.... kuna mahali havitakiwi kabisa... na magari ya siku hizi... 50 haiko mbali...Pole sana Mkuu,
Mkuu,jaribu kufuata sheria za barabarani na hasa overspeeding,ni kwa usalama wako na kwa usalama wa watumiaji wengine wa barabara,
Hapo kwenye heading yako hilo neno Kularibisha
Bila shaka ulitaka kuandika Kukaribisha
Tatizo unafananisha traffic wa bagamoyo na wa mikoani ukikutwa na wewe utakuja hapaKama ni kweli umelipa fine kwenye speed iliyo ndani ya 50 huo ni uzembe wako kwa sababu polisi wenyewe wanakiri kwamba 50-59 ni provisional speed ambayo dereva anakuwa hana kosa. Kwa uzoefu wangu wa kuendesha high way hakuna hata siku moja nilipigwa fine kwa kuendesha gari kwenye speed 50-59 na hata juzi pale bagamoyo nilipigwa fine kwa speed 61 yule traffic police akasema yaan umezidisha 2 tu. Sasa wewe ebu tueleze vuzuri speed zako zilikuwa ngapi
1) Angekuonyesha hiyo picha uione na weweWatanzania wengi hatujitambui na bahati ni watanzania kidogo walio na uruma kwa wenzao.
Niendesha gari toka Arusha kwenda Ngara ,nilipofika Babati nikasimamishwa na polisi akasema umepita kibao cha 50 ukiwa na 54 faini 30,000 nikalipa.
Nikatembea taratibu sana kufika Dareda nikakutana na polisi akasema nina picha hapa umepita kibao kwa 50.5 faini. Nikasema we ni mwongo akajibu'tumeelekezwa fedha zote mlizo nazo lazima tuzichue"ni kweli kufika kahama nilikuwa nimeishalipa zaidi ya shill 180,000.
Wananchi nawaakikishia kama hatapatikana mtaalamu wa kutupangia matumizi bora ya hizi speed tena kwenye highway mtanyanyasika sana na tutaendelea kuwa watumwa ndani ya nchi yetu.Najua madereva wengi wanateseka sana.Tunanyaswa na kuonewa bila wenyewe kujua.
Yaani unaweza sema bora kutembea kwa miguu wamejua namna ya kutukamua hata bila kosa wakikusimamisha lazima uandikiwe hata kama huna kosa tz tz tz na kiongozi unaejifanyia utakavyo Mungu hajaenda likizoHuko Ngara ni mbali. Nimetoka posta kwenda kibaha kupitia Mwenge nilikuwa na mishe za hapa na pale. Kufika Sarenda bridge naambiwa nimevuka taa nyekundu na nimemkimbia traffic makosa mawili kwa huruma nikaambiwa nilipie kosa moja. Kipande cha Mwenge-Ubungo kulikuwa na sijui msafara Sijui nini jamaa walikuja kwa speed sana pale maeneo ya kivulini kwamba nimesikia king'ora cha msafara sijachukua tahadhari nataka kufanya uhaini nikatishwa tishwa sana kwamba nitafungwa wakazuga wamenihurumia wakanipiga 30. Kufika baruti nikasimamishwa nikaoneshwa torch kwamba nimeoverspeed 53 nikawaambia sijaona kibao ndipo nikaambiwa TOKA POSTA HADI NJIA YOTE NI 50 NA HAKUNA KIBAO wakanichukuli 30. Pale mizani ya zamani maili moja tena nikaambiwa nine overtake sehemu isiyoruhusiwa kumbe nilifanya kwakuwa kuna roli lilipata na waliwasha hazard light na walikuwa wanajiandaa kuwaeka reflectors nikajaribu kujitetea haikusaidia. Yaani utetezi ulikuwa nikupoteza muda kumbe jamaa walishajipanga kuniandikia walikuwa wanasubiri license number tu. Ikawa hadi kufika maili moja nimelipa 120,000. Inaumiza sana sana sana.
Kuna haja na kila sababu ya wananchi kupaza sauti serikali kupitia jeshi la polisi wanatufilisi na kutuletea umasikini.
Mwl Nyerere alituambia Serikali legelege huwa hazikusanyi Fedha sasa hii si legelege