Nini cha kuzingatia wakati unahojiwa na Police.

Mkuu hujajibu maswali niliyokuuliza.
Bint sijawahi kugombana naye umri ni 16 taarifa za kuwa nawaailiana naye zilipatikana kwenye makampuni ya SIMU yeye walimpeleka polis kwa mahojiano Ila hakusema nawasiliana naye .
 
Tafuta mwanasheria mkuu!
Tusimpoteshe mwanasheria police anaenda kufanya nn?? Mwanasheria police hatakiwi kuongea chochote zaid ya kuangalia jinsi wanavyokuhoji...na wakati mwingine police wanaweza mfukuza....polis wanahitaji kukuhoji ww na sio mwanasheria wako....mwanasheria wako sehem pekee anaweza ongea badara yako ni mahakamani na sio police.......

Sent from my HUAWEI Y600-U20 using JamiiForums mobile app
 
Usisahau kwenda na nano-spy watch yako ukiwa umeficha kwenye nywele halaf ukitoka utupie video/audio ya mahojiano
 
Tusimpoteshe mwanasheria police anaenda kufanya nn?? Mwanasheria police hatakiwi kuongea chochote zaid ya kuangalia jinsi wanavyokuhoji...na wakati mwingine police wanaweza mfukuza....polis wanahitaji kukuhoji ww na sio mwanasheria wako....mwanasheria wako sehem pekee anaweza ongea badara yako ni mahakamani na sio police.......

Sent from my HUAWEI Y600-U20 using JamiiForums mobile app
Namaanisha atafute mwanasheria ili amsaidie cha kujibu!!
 
Kwa kifup Kuna bint nilikuwa nachat naye na wazaz wake wametilia mashaka hayo mawasiliano ,sikuwahi kumtongoza Ila msg zinaonyesha intimacy kwa kiasi Fulani.
Kuwasiliana na binti sio kosa...kosa ni endapo ulionyesha nia ya kumtaka au ulionyesha vishawishi vya kumfanya yy mwenyewe akupenda....pia huyu binti ni mwanafunz au binti wa aina gan?

Sent from my HUAWEI Y600-U20 using JamiiForums mobile app
 
Mtoto ana miaka 16... You're in big trouble bruh.
Achaneni na watoto hao, Mtaani wakubwa kibao we unaenda kuchat na kitoto hakijui hata kufua kufuli.
 
Best wewe nenda mwenyewe polisi hakuna haja ya mwanasheria yaani ukienda na mwanasheria huyo mwanasheria ndiyo atakupiga, kimsingi kwa uzoefu wangu Polisi wakikuita ukienda mwenyewe ni wastaarabu sana, tena unaweza kujidhamini mwenyewe, noma ni pale wanapokuita unakaidi wakikudaka mitaani wanakuwa na hasira flani
 
Kwa nini aifiche kwani hairuhisiwi kwa mtu yeyote tu kuitumia???
Inaruhusiwa lakini wakigundua lazima wajirizishe kama imerekodi au la na kama imerekodi lazima asweke ndani na kupigishwa zoezi la msamba alfajiri vinginevyo isiwe hapa Shengeni.
 
Bint sijawahi kugombana naye umri ni 16 taarifa za kuwa nawaailiana naye zilipatikana kwenye makampuni ya SIMU yeye walimpeleka polis kwa mahojiano Ila hakusema nawasiliana naye .
Mahojiano yako ndo yanaweza kukupeleka segerea, ukiwa mjanja unamruka huyo binti kwamba humfahamu na hujui kitu kuhusu huyo mzee(ila wakifuatilia mawasiliano yako utaonekana una kosa) hivyo mahakamani huyo aliyekushtaki atatakiwa athibitishe tuhuma zake kwako.
 
Bint sijawahi kugombana naye umri ni 16 taarifa za kuwa nawaailiana naye zilipatikana kwenye makampuni ya SIMU yeye walimpeleka polis kwa mahojiano Ila hakusema nawasiliana naye .
Binti wa miaka 16 unachat nae nn? Halafu ukute ww una zaid ya miaka 25...
Hapana aisee....hatuwez tu kuingia kwenye akili au mawazo yako lkn akili za wanaume wote tunajuana...
 
Binti wa miaka 16 unachat nae nn? Halafu ukute ww una zaid ya miaka 25...
Hapana aisee....hatuwez tu kuingia kwenye akili au mawazo yako lkn akili za wanaume wote tunajuana...
Maelezo niliyotoa hujayaelewa au umeamua tu kwa makusudi kuanzisha mada MPYA Mkuu?
 
Back
Top Bottom