Recent content by ammablaze

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tabia hizi katika Supermarkets zinaboa

    Ni vizuri kutumia debit card katika maeneo kama supermarket, kama hauna card basi jitahidi uwe na coins, au ongeza bidhaa nyingine itakayomalizia hiyo mia yako, si busara kwa muhudumu aende kutafuta chenji ilhali kuna watu wengine wanahitaji huduma yake.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi na ajira ya kudumu.

    Safii sana
  3. A

    JamiiForums Tanzania RTI International

    Sema basi kasomea mshahara au? Acheni zenu hizo msitusababishie tuchafue computer zetu
  4. A

    JamiiForums Tanzania JWTZ proffessionals vipi?

    Kweli watu wameamua, yaani topic ya jwtz daily haikomi, au kuna kitu nini jeshini hebu tuambizane jamani. Ila kuwa na subira tu bro lazima watatoa, while waiting for that nakushauri endelea na michakato mingine, wanaweza wakatoa then ukakosa vigezo vingine kama afya na umri
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hii sensa kiboko?

    Kweli kiboko, kama dar ndo hivyo je huko vijijini inakuwaje
  6. A

    JamiiForums Tanzania nafsi za kaz bandari..

    Fungukeni
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kazi COSTECH

    Hebu atuambie
  8. A

    JamiiForums Tanzania Maafisa tarafa

    Hamnaga interview , interview ni vyeti vyako ulivyotuma, kama vp we subiri kuitwa kazini. Kama waalimu na watu wa kilimo, no argument
  9. A

    JamiiForums Tanzania Vicky Mtetema acha kufanya ofisi ya Under The Same Sun Mali yako......

    Wabonge tuache mambo ya kubebana, tunahitaji watu wanostahili kwa kazi Kaka kama vp mchane tu live
  10. A

    JamiiForums Tanzania Anahitajika afisa masoko haraka/ sales and marketing oficial

    0716540580, sifa zote ninazo,
  11. A

    JamiiForums Tanzania Common Interview Questions and how to answer them

    Safi mkuu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hawa EROLINK RECRUITMENT AGENCY TAFADHALI!!

    Hii mbaya sana
  13. A

    JamiiForums Tanzania Jamani PSPF wameshaita watu kazini?

    Acheni kumkatisha tamaa mwenzenu, haiwezekani kila mtu akajiajiri lazima wengine waajiriwe, au wewe ushaona wapi mtu kajiajoiri afu kazi zake zote anafanya peke yake, ukweli ni kwamba mwisho wa siku lazima wengine waajiriwe. Pia unaweza ukaanza na kuajiriwa then ukajiajiri badae yaani unatafuta...
  14. A

    JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI MWEZI FEBRUARY 2012- Source mwananchi

    poa mkuu sana tu
  15. A

    JamiiForums Tanzania Jamaa ananizingua au kweli?

    Acha mbwembwe kama hauna access ya gazeti piga hizi namba jamaa anafanya kazi huko +255222122976
Back
Top Bottom