Hii sensa kiboko?

Mnyella

Member
Aug 8, 2012
43
6
Makarani wa SENSA,kata ya MBEZI mkoa DAR ES SALAAM wilaya ya Kinondoni,wana moyo na hali kubwa ya kutekeleza jukumu hili zito la serikali,lakini wanakatishwa tamaa na kuvunjwa moyo na mpangilio mzima wa serikali utafikiri serikali haikujipanga!MPAKA LEO JUMAMOSI,BAADHI YA MAKARANI WA SENSA WA KATA YA MBEZI HAWAJAPATA VIFAA VYA KAZI HII YA SENSA.KWA MAONI YANGU HII SENSA INGESIMAMIWA NA TUME MAALUMU KAMA VILE UCHAGUZI KULIKO KUIACHIA SERIKALI,KILA MTENDAJI ANAJITUMA PALE ANAPOANA KUNA MASLAHI YAKE,NA HATA PAKIALIBIKA,MUWAJIBIKAJI HAJULIKANI,HII SENSA INGEUNDIWA TUME WATENDAJI WA SERIKALI KILA MTENDAJI ANA MASLAHI YAKE.HIVI JK ANAJUA MPAKA LEO JUMAMOSI MAKARANI HAWANA VIFAA NA KESHO NDIO ZOEZI LINAANZA.HII SENSA MRADI YAISHE TU.
 
Mbona tena unaturudisha nyuma? Turudi kwenye Tume isiyo huru?
 
...Mwisho wa Sensa ya mwaka 2002 ndio ulipaswa kuwa ndio MWANZO wa Maandalizi ya Sensa ya Mwaka 2012. Ilivyo ni kwamba ni kama Tumekurupushwa. Haya ndio matokeo ya kuwa na Serikali Dhaifu yenye mipango Dhaifu inayosimamiwa na Viongozi Dhaifu ambao uwezo wao wa kukabiliana na Changamoto ni Dhaifu na huishia kusema 'Liwalo na Liwe'...
 
"LIWALO NA LIWE" ni kauli ya kukata tamaa na kukili kuwa hapo ndio ukomo wa uwezo wako!!
 
bora cc waislamu wa kweli tulivyoamua kutoshiriki kabisaa hiyo sensa,i beleave kwa tanzania sensa haitaleta maendeleo yyte na kama mnabisha subirini muone.serikali hii inayosisitiza sensa kwa maendeleo ndo hiyohiyo ilokumbatia mafisadi,mkapa,lowasa,daud balali wametutia changa la macho eti kafa marekani ili kuondoa ushahidi,liyumba kafungwa miaka 2 wakat mimi bro wangu kaiba vitu vyenye thamani y laki4 kapigwa jela miaka2,.kama mnataka maendeleo turudishieni ela zetu za epa na daud balali aletwe tanzania ashitakiwe ni wazi kuwa hajafa,anakula goodtime marekani,lowasa afilisiwe,mkapa afilisiwe,summaye afilisiwe,wapo wengi wasio na haya hawa,naamini pesa zitazopatikana from kufirisiwa wezi hawa zitaleta maendeleo,sensa baadaeee
 
Kama wasimamizi wamewalipa posho zao zote hamna shida. Tumezoe kupewa takwimu za uongo na serikali yetu kwa matukio mbalimbali yanayotokea humu nchini,sembuse hili la sensa. Labda tusikilize BBC na Dochvele wtatupa idadi kamili ya raia wa Tz kama ilivyo kwa mambo mengine mbalimbali
 
me nashangaa sna mpaka sasa ninapo ishi tungi kigambon sijamuona karani hata mmoja nyumbani hata barabaran hivi wanahesabu kwa aina mmoja tu ya dejure au wanatumia mpaka defacto
 
Back
Top Bottom