Kazi COSTECH

Tekenya

Member
May 24, 2011
67
9
Wadau kwa mwenye taarifa kuhusiana na nafasi za kazi zilizotangazwa na tume ya ajira za COSTECH kama washaita watu kwenye usaili,
maana mim niliomba research assistant mpaka sasa naona kimya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom