COURTESY
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 2,006
- 712
- Thread starter
- #21
nimewahi kufanya nao kazi call center vodacom miaka mitatu iliyopita.... mshahara customer care kipindi kile ilikua si zaid ya laki tano but hii inategemea na masaa uliyofanya kazi, wanalipa kwa masaa. mwajiri wako anakua erolink then pale inakua kama center ya kazi so any thing related to work you report to them.
hata kama kuna issue wanabana but bora ufanye kuliko kukaa nyumbani tu
how about bank tellers nao wana work for hours?thanks