RTI International

Buggy

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
236
60
Kuna yeyote anayelijua shirika la RTI International Tanzania? Kuna ndugu yangu anataka ku-apply kazi huko. Kama kuna anayejua salary package yao na other benefits naomba anijuze.
 
Haya mabungai ndio yananichefua mimi kila siku natapikia kompyuta yangu, unaulizia mshahara tu, mazingira ya kazi hutaki kujua?

Kwanza ni Research Triangle Institute, hakuna international.

Huyo ndugu yako kasomea mshahara?
 
Sema basi kasomea mshahara au? Acheni zenu hizo msitusababishie tuchafue computer zetu
 
huyu las mas bosssoo naye bonge la mshambaaa! eti hakuna International!!! Shamba la kutupwa! hujui hata RTI International ni nini!
 
Back
Top Bottom