Jamaa ananizingua au kweli?

wiseboy

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,931
3,299
jamani tupo mtaani, mambo magumu na tulisha zoea, jamaa angu tulie maliza nae chuo ni mtani sana sasa kanipigia cm eti wizara ya mifugo na uvuvi imetema majina ya waajiliwa na eti jina langu lipo kwenye gazeti la leo la dailynews, je ni kweli au ananizingua, je kuna m2 anaweza kuweka link hapa, thanks wakubwa
 
Sasa si utafutute hilo daily news kama upo mjini au mwambie mtu unayemjua akuchekie, shida ipo wap?
 
Ingekuwa rahisi sana kama ungesema hata jina ili kama kuna mtu ana hilo gazet achek jina lako chapchap.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom