Recent content by amiride

  1. A

    JamiiForums Tanzania Unabii wa Bush 2007, kuhusu nchini Iraq watimia

    imekuuma nini kisa wamechinjwa wakristo wakiua waislam wasio na hatia sawa enh pumb avu kabisa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nitawania Urais kupitia CHADEMA 2015

    Jina tu peke yake latisha wanafunzi wakiulizwa rais wenu anaitwa nani? " TUNDUUU"
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mch. Rwakatare avunjiwa nyumba

    watafute majina ya kuyapa makanisa yao eti "mlima wa moto" mbona haukuwasha hayo magreda
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tuchambane hapa

    masikio yamekusimama utadhani umesikia habari mbaya
  5. A

    JamiiForums Tanzania Duh inawezekana

    Wiki moja ina siku 7, Shule ya msingi madarasa 7, Huu ni mwezi wa 7, Tupo msimu wa sabasaba, Brazili wamefungwa 7, Game imeisha saa 7, Mathayo 7:1 inasema" na iwe hivyo kwa wenyeji wapewe vipande saba vya mkate ili mgeni apewe kimoja, kwa maaana bwana anataka tuwe wakarimu kwa wageni, Amen
  6. A

    JamiiForums Tanzania Lipi ni neno refu la kiingereza?

    pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis
  7. A

    JamiiForums Tanzania Betting katika michezo

    Wadau, Hivi sasa kuna huu mchezo wa ku-bet michezo ya mpira, ni sawa inawezekana watu wanafaidika lakini tatizo ambalo lipo na nadhani linaweza kuja kuwa kubwa n vijana wengi sasa hawataki kufanya kazi kwa kisingizio cha kubet kwamba ya nn niende kazini wakati kesho nachukuwa 50,000. Ok ni...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ukombozi wa afrika

    [Ukombozi Africa – Urafiki Jazz Band] Mwenyekitiiiiiii, Wa nchi tano zilizo mstari wa mbeleeee, Tunakuomba, Uzidishe mapambano ya kusini, Mwa Afrika, Kwani maadui , wa Afrikaaaaaaaaaa, Walisumbua sana bara letu hili la Afrika. Raisi Kaunda, na Samora wa Msumbiji, Silais Khamaaa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania TUJADILI: Logic ya CCM kuhalalisha serikali mbili waliitoa wapi?

    Duh mimi ni tofauti tukirudi na serikali tatu lazima turudi kwenye azimio la arusha ambalo lilivunjwa na azimio la zanzibar kama wadau mnakumbuka sasa kulirudisha azimio sijui litafanyika wapi, na hawa ndugu zetu tukiwa na serikali tatu mamlaka ya tanganyika yatawaangalia watanganyika kwa karibu...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Next president

    papa msofe hahahahahah
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express?

    He msije mka WA SHENGENA WATU twawajuwa warabu wa tanga hamkawii kubadilisha majina ya magari yenu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mimi Mchawi & Ndiye Niliyezamisha Meli Ya Mv Spice Islander-Bint

    du zamu yao maana zamani ukisikia pepo utasikia ni muislam na hao watabiri wa hali ya hewa wliosema bahari itachafuka nao wachukuliwe waombewe naona wao walipelekwa bahari ya sham, huu ni upumbavu na ujinga kweli wajinga ndio waliwao, haya na dini zenu maana mtauona ufalme wa shetani
  13. A

    JamiiForums Tanzania TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

    yale yale ya babu wa loliondo kweli wajinga ndo waliwao
  14. A

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    usisahau kulikuwa na jamhuri, mtotot wa jamhuri, tonge nyama hili ukipanda uvumilie maana mzee mwenye basi ikifika saa ya kusali basi linawekwa pembeni mpaka amalize sala na akifika kwa bii mdogo mtasubiri mpaka amalize kula, kulikua na atomic piga adui , sauti ya sikinde, ndege mnana hashu...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Siri za mohamed Morsi zafichuliwa Eghpty!

    wee kweli yaonyesha ni shoga
Back
Top Bottom