Unabii wa Bush 2007, kuhusu nchini Iraq watimia

Unabii wa Bush 2007, kuhusu nchini Iraq watimia

2013

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
11,365
Reaction score
6,086
"I know some in Washington would like us to start leaving Iraq now. To begin withdrawing before our commanders tell us we are ready would be dangerous for Iraq, for the region, and for the United States. It would mean surrendering the future of Iraq to al Qaeda. It would mean that we'd be risking mass killings on a horrific scale. It would mean we'd allow the terrorists to establish a safe haven in Iraq to replace the one they lost in Afghanistan. It would mean increasing the probability that American troops would have to return at some later date to confront an enemy that is even more dangerous." By George Bush speech (July 12. 2007)

-------------------------------------------

"This part of Bush's speech begins at the 9:00 point.
Former President Bush endured excoriation from the media and ridicule from the pundits for his position on Iraq. He was mocked and scorned. But, he was right.
"Every single thing that President Bush said there in that statement is happening today,"
"I t is point by point by point what we are seeing today,

Although "President Barack Obama did withdraw troops before the commanders on the ground said they were ready to do so,
Although the commanders recommended leaving 20,000 troops in Iraq, Obama left none.

-------------------------------------------

When the peacekeeping forces left, Al Qaeda's successor, ISIS, the Islamic State, came into power and has quickly grown in strength. They were left unchecked, and now, the "mass killings on a horrific scale" predicted by President Bush are today's daily headlines. These are just a few, as reported by The Inquisitr:
  • ISIS Ethnic Cleansing: 670 Prisoners Murdered In Shia Prison Massacre, UN Reports
  • Iraq: ISIS Massacres Hundreds More Yazidis, U.S Steps Up Airstrikes
  • ISIS Video Emerges Online Purporting To Show Brutal Beheading Of Steven Sotloff
  • ‘I Survived An ISIS Massacre‘: One Soldier's Unbelievable '3 Days Of Hell'
  • Report: ISIS Beheading Children In Iraq
The ill-advised, premature withdrawal from Iraq has led to the one thing that neither President Bush and his supporters nor his opponents ever wanted to see. It is a grim moment when the very thing that you knew would happen, and you never wanted to happen, happens. However, it is a moment of heaviness and sorrow, not one for gloating or saying "I told you so."

Hotuba ya Bush hii hapa chini;

​

linK: President Bush Predicted In 2007 With Frightening Accuracy What Is Happening Today In Iraq
 
Obama anapenda sifa za kijinga
Ni kweli: Obuma, alitaka masifa na urais akajifanya anaondoa jeshi la marekani iraq: Bushi alionya wakamkebehi na kumwona mtu mwovu na asiye na lolote:

Bush akashauri wasiondoe Jeshi kabla hawajaambiwa na makamanda wa marekani kuondoa jeshi:
Obuma akasikiliza mashabiki na kupuuza ushauri wa Bushi akaondoa jeshi.

makamanda wa jeshi la marekani wakamsihi obama abakize angalau wanajeshi 20,000, Ye akajiona mwamba ana kusafisha kikosi chote nchini Irak:

haikuchukua muda IS wakaibuka Obuma akawapuuza akawa hachukui hatua: mdogomdogo wakaanza kutanua msuli:
Sasa Obama ana ha ha kuomba seneti impe ruhusa atumbukize kikosi cha marekani kikafe kule Iraq kikipigana vita mpya na IS.Huu ni Undumila kuwili wa Obuma.
 
Lakini hali ilikuwaje huko Iraq kabla ya kuvamiwa na majeshi ya Bush! Hao Mujahedeen walitamba wakati wa Sadam?
 
Bush_at_War_cover.jpg

Ukisoma icho kitabu utajua huyu jamaa sio kama media za USA zilivyo m-potray ni bogus wakati wa madaraka yake, Usalama wa taifa wa marekani ulilazimisha vitu vingi sana ambavyo alikuwa akibishana nao kuhusu long term implications za mass ideological psychology and reaction based on the formation of those society.

Hicho ilikuwa ni kipindi ambacho walikuwa bado wanajadiliana namna ya kuivamia Iraqi na Afghanistan na alitoa sababu muhimu sana za kupinga au apewe majibu ya aftermath leo hii almost everything as turned out exactly on what he feared sio kama wanavyo muuza as 'war monger' who dint care on the long term implications of those regions ni security counsel ndio aikujali madhara ya muda mrefu.
 
Sasa mnaomtetea Bush ina maana yeye ni muiraq???! Ana wajibu gani kule!!!huyu bush nyangau ndie aliharibu hii nchi ya iraq
 
Ni muuaji huyu alisambaratisha ile nchi mpk leo imekua kama.klabu cha pombe kila mtu anakoroma
 
Msisahau kujiuliza wafadhili wa ISIS/IS tangu mwanzo ni akina nani leo wanajidai walitabiri, wakati ni wao walioplan game lote. The west will never see the meddle east in a stable political and religional conditions.
 
Msisahau kujiuliza wafadhili wa ISIS/IS tangu mwanzo ni akina nani...Leo wanajidai walitabiri, wakati ni wao walioplan game lote... The west will never see the meddle east in a stable political and religional conditions.

Inamaanisha jamii ya Kiarabu haijitambui afadhali ya wajukuu wa nyani (wanubi)
 
Ni kweli: Obuma, alitaka masifa na urais akajifanya anaondoa jeshi la marekani iraq: Bushi alionya wakamkebehi na kumwona mtu mwovu na asiye na lolote:

Bush akashauri wasiondoe Jeshi kabla hawajaambiwa na makamanda wa marekani kuondoa jeshi:
Obuma akasikiliza mashabiki na kupuuza ushauri wa Bushi akaondoa jeshi.
makamanda wa jeshi la marekani wakamsihi obama abakize angalau wanajeshi 20,000, Ye akajiona mwamba ana kusafisha kikosi chote nchini Irak:

haikuchukua muda IS wakaibuka Obuma akawapuuza akawa hachukui hatua: mdogomdogo wakaanza kutanua msuli:
Sasa Obama ana ha ha kuomba seneti impe ruhusa atumbukize kikosi cha marekani kikafe kule Iraq kikipigana vita mpya na IS.Huu ni Undumila kuwili wa Obuma.

Ukweli ni kwamba bush hakupata kuwacontrol hawa jamaa,kumbuka the battle of falluja na ramadi.ilichukua mpaka wameanza kuwahonga baadhi ya koo za kisuni ndo pakatulia kidogo.japo hali iliendelea kuwa tete mpaka pale maliki alivyowatumiwa mahdi brigade ndo mambo yakatulia.

Hawa ISIS walipewa mafunzo jordan na haohao wamarekani kwalengo la kumpindua assad,mambo yakawa magumu iran alipokinga kifua ndo marekani akawaacha waingia irag na pia wakaharibu iran.
 
Lakini hali ilikuwaje huko Iraq kabla ya kuvamiwa na majeshi ya Bush! Hao Mujahedeen walitamba wakati wa Sadam?
Hawakutamba kwakuwa hawakuwepo: Ila vita na Kitendo cha obama kuondoa jumla jumla wanajeshi wa marekani amefungulia njia hawa jamaa kujitokeza.

Pia Ishu sio sadam ukiangalia sadam amekuwepo pale miongo mingi kama alivyokuwa Ghadafi: laiti Iraq ingekuwa ni nchi yenye element za kidemokrasia kama Iran , halafu Bush aivamie ni wazi kila mtu angeamini kuwa Bush ndio kavuruga mambo. Sadam alikuwepo pale kwakuwa hata yeye hakuweza kuondoa tofauti zilizopo. ukiwafutatilia wakurdish walioko Uturuki na Iraq unaweza kuelewa jinsi mamo yalivyokuwa complex pale.
 
Back
Top Bottom