Yule mama Chuwa alipodai kwamba alitonywa kwa SMS toka juu kwamba Waziri mkuu anakwenda kumtembelea, aweke mambo sawa na kupelekea kutaka kumdanganya Waziri mkuu kwa kuwasha pump ambayo haijafanya kazi kwa miaka mitano mizima, kiasi cha kupelekea serikali kuibiwa Mabilioni na wajanja, huku Mama...
Akafie mbele kule...
.Kila siku tunaitaka serikali iwachukulie hatua wavunja sheria....ndio maana tulifurahi ilipoanza na akina Masamaki wa TRA. Leo huyu mwingine naye kavunja sheria ya nchi eti mijitu ile ile iliyofurahia kuhusu Masamaki leo inataka sheria ipindishwe kwa huyu!
Kana kwamba akina...
Hunifahamu, sikufahamu. Ni kweli nimejiandikisha Mikocheni ambayo ipo Jimbo la Kawe. Kitu kinachonishangaza imekuwaje Tume wakupe namba yangu ya simu na kuanza kunitumia meseji kila siku za kampeni zako za kisiasa?
Imekuwaje uitafute na kupata namba yangu ya simu bila ridhaa yangu?
Na nyie...
Nilimwona Nape ITV jana akiongea kwa upole sana. Sijui amepatwa na nini!! Ile payuka yake sikuiona kabisa jana. Eti anadai anawataka viongozi wawachukulie hatua waliohusika na sakata la escrow! Hili lijamaa ni Li-mbulumundu kweli! Si ndio lenyewe lililompongeza Kikwete kwa kutowachukulia hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.