KKKT: Kikwete usiwaweke viporo Mafisadi

KKKT: Kikwete usiwaweke viporo Mafisadi

kwa wale wanaosifia mtu mwenye maamuzi magumu, kikwete naye ana maamuzi magumu sana mpaka watu kushindwa kumwelewa. kutokutoa uaamuzi kwenye issue nyeti/sensitive nayo ni uamuzi mgumu. Iddi amin alikuwa na maamuzi magumu, vichaa nao wa maamuzi magumu, kuvamia nchi na kunyang'anya kipande cha nchi nyingine kama alivyofanya Putin huko Ukraine ni maamuzi magumu na sasa nasikia Lowasa naye ana maamuzi magumu ya kwenda kutafuta artificial rain huko Asia au kumtishia mtoto aliyeuliza kwanini viongozi wana vyeo zaidi kimoja. mtu angesifiwa kuwa ana maamuzi sahihi anafaa kuwa raisi ningewalewa. lakini wanasema jamaa ana maamuzi magumu ni kuchunga sana maana hata vichaa wa maamuzi magumu.

Misa ikifanyika Moshi Nyumbani kwao Mengi kwa Hisani ya Mengi unategemea dr shoo angesema nini zaidi ya kumfurahisha Mengi ambaye alifhadhili Hiyo misa.
 
Tena hakuna Asikofu anapenda Pesa kama Malasusa Huyo hupita kila kanisa anayoyaongoza kuchukua bahasha , nahisi hata Hiyo Misa itakuwa iliandaliwa kupitia kwake baada ya kupewa Mkwanja na Mengi kisha akaenda kumugawia Dr shoo ili wamfurahishe Mengi na kuendelea kupiga pesa Nchi Nzima kwenye makanisa, Namjua Malasusa hapo keshepata Mgodi wa kuvuna pesa, anaombea Ugonvi wa Muhongo na Mengi udumu ili aendelee kula pesa za Mengi kwa Kisingizio cha kumsaidia kupitia misa na ibada.
 
Mengi ni Fisadi number one na maasikofu nao ni mafisadi siku hizi hakuna mtu wa kumwamini hata Mengi Mwenyewe kapigwa Pesa na Akina Sendeka na Abdul Mtegeta na wameshindwa kumng'oa Muhongo, huo pia ni Ufisadi wa ndani kwa ndani, Mengi ni Fisadi lakini na yeye kufanyiwa Ufisadi na akina Sendeka, yaani ni piga nikupige.

Ebu soma vizur ulichokiandika kama utaelewa mwenyewe......
Una matatizo sana yote sababu ya mainterahamwe vinginevyo nchi isingekuwa na mizigo kama wew inayoishi kwa majungu..
 
Bongo ni zaidi ya uijuavyo, hatawachukulia hatua na ikifika wakati wa kampeni watu wanaishangilia sisiem utadhani hakuna kilichotokea hapo nyuma
 
Misa ikifanyika Moshi Nyumbani kwao Mengi kwa Hisani ya Mengi unategemea dr shoo angesema nini zaidi ya kumfurahisha Mengi ambaye alifhadhili Hiyo misa.

Muumini wa kawaida akizaa nje ya ndoa, kanisa linamtenga, Tajiri akizaa nje ya ndoa na binti sawa na mjukuu wake, Kanisa linamkumbatia.
 
Ebu soma vizur ulichokiandika kama utaelewa mwenyewe......
Una matatizo sana yote sababu ya mainterahamwe vinginevyo nchi isingekuwa na mizigo kama wew inayoishi kwa majungu..

Majungu yapi? Ww pia soma ulichokiandika usiishi kwa kukariri kuwa Mengi ni Mungu hana Dhambi, Mengi aliifirisi NBC bank , Mengi halipi Kodi, Mengi alipewa mgao na Rostam akamsaidia kuhamisha Mabilioni ya pesa kwenda nje pasipo kulipa Kodi, Mengi Anawaibia Wafanyakazi wake kwa kuwalipa mishahara Mibovu huku akitumia Mabilioni kumung'oa Muhongo, hayo ni Baadhi ya madhambi ya Mengi Kati ya kibao aliyokuwa nayo. Usiishi kwa kukariri kuwa Mengi ni MUNGU kila analosema linatoka Mbinguni.
 
Muumini wa kawaida akizaa nje ya ndoa, kanisa linamtenga, Tajiri akizaa nje ya ndoa na binti sawa na mjukuu wake, Kanisa linamkumbatia.

Ndipo ujue kuwa Dr shoo alipiga kazi kwa Hisani ya Mengi.
 
Kanisani watu ibada siku hizi ni kuzungumzia serikali na kutoa amri. Mungu wa wakristo yupo kwenye mikono ya wanasiasa.

Maulid ya mwka huu ilikuwa ni ya kumpongeza JK kwa hotuba yake kwa wazee wa Dar. Sijui huyu mumgu hawa maamuma yupo kwenye mikono ya majambazi?
 
kweli unaonambali ,umeona jinsi askofu kilaini alivyojijazia minoti ya umma halafu anajiita mcha mungu.anaombea maskini huku anawafyonza viutomvu vya uhai.

Kanisa Bongo? Bongo kila kona ni kupiga tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom