Star TV kuna jamaa anaongea kwa jazba muda huu

Star TV kuna jamaa anaongea kwa jazba muda huu

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
10,707
Reaction score
4,578
Hivi ukiwa unato MADA lazima uongee kama unagombana na wasikilizaji au mtangazaji, sijui anaitwa nani lakini anadai polisi wote hawakusoma na wameingia kazini kwa vyeti vyenye F tupu. yaani kama anataka kupigana! mtu kama hujui kutoa mada jitahidi kuzuia mhemko.
 
Jambo kama unashindwa kuliondoa likemee......kukemea kunaambatana na hisia kali za hasira...mwache atoe yaliyo moyoni.
 
Ujumbe umefika mkuu,fanya editing kidogo.
 
Jambo kama unashindwa kuliondoa likemee......kukemea kunaambatana na hisia kali za hasira...mwache atoe yaliyo moyoni.

Sasa pale alikuwa anamkemea nani!
 
hii nayo ni post? Hujasema huyo jamaa ni nani na wala hujatoa maelezo halisi ili tuelewe izo jazba zake kijana tuliza mihemko toa taarifa iliyokamilika
 
Kama mleta mada unashindwa tu kueleza vizuri kwa maandishi ukipewa nafasi kama ya huyo jamaa aliye star tv utaweza kweli kufafanua jambo likaeleweka?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kama mleta mada unashindwa tu kueleza vizuri kwa maandishi ukipewa nafasi kama ya huyo jamaa aliye star tv utaweza kweli kufafanua jambo likaeleweka?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

naye ajipange kumuangalia uyo jama mpaka nayeye kapata jazbar kupost kakurupuka
 
Labda anahasira sababu polisi hawakusoma wanalipwa,yeye kasoma halipwi.

Kuna wakati ambao elimu ya mtu haihusiani kabisaa na makosa anayofanya maana unaweza kuta mtu ana elimu nzuri na ya kuaminika lakini anafanya mambo ya ajabu kabsa,kama aliyekuwa mwanasheria.

Sasa wakati mwingine upuuzi unaofanywa na polisi wetu mtu akianzaga kuuhusisha na elimu huwa naona ni majungu tu.
 
Msigwa aliisema tatizo la viongozi wetu huwa wanajitoa akili kwa 7bu unaweza ukamkuta kiongozi na phd yake anaongea kama mtu aliyeishia drs la 7 duuh nyie wenyewe mna mifano mingi kama vile F M , J4 M...
 
Mwalimu nyerere kumbe mpaka anafariki alikuwa hajui kuendesha gari
 
Elewa kwamba kuna watu ambao hiyo ndo staili yao ya kuongea, mhimu anafikisha ujumbe au anaeleweka, hivi ushawahi kumsikia jamaa mmoja anaitwa mkinga anavyoongea, we utakimbia.
 
mtu wa kusadikika , hii thread ikiachwa hadi kesho itaonekana atakayekuwapo mda huo ndo huyo jamaa
 
pia kunamwingine kule bungeni ni mbunge wa Siha (mwanri,) marekebisho kama nimekorea jina. jamaa anaongea hadi analia na mate kumruka.
 
Hivi ukiwa unato MADA lazima uongee kama unagombana na wasikilizaji au mtangazaji, sijui anaitwa nani lakini anadai polisi wote hawakusoma na wameingia kazini kwa vyeti vyenye F tupu. yaani kama anataka kupigana! mtu kama hujui kutoa mada jitahidi kuzuia mhemko.

Ni kweli hata mimi nimeyaona mapungufu yake, badala ya kusema wengi wao wameingia na vyeti vya kufoji yeye ameliwacha hilo.
 
Umeamka ili uwahi kupost JF.

Mbona ungengoja Kidogo , ungeona hata jina pale chini huwa wanapitisha..

Ulichokifanya umemka umewasha Tv yako , dakika mbili hata madaa hujui imeanzi wapi ukakimbilia JF.

Tulia .

Na ww pia unakosa uvumilivu kuliko hata huyo aliyekua anaongea .
 
Wengine ndiyo wapo hivyo tu. Kuongea kwa ukali, jazba na mikwara. Kila mtu ana namna yake ya uongeaji.
 
Mara nyingi watu kama hao wakiwa nyumbani wanaonewa na wake zao. Hasira za kuonewa na nyumbani, akipata upenyo wa kuzitoa huutumia mwanya huo effectively. Ndio unaona mambo yote hayo.
 
Back
Top Bottom