Recent content by ameline

  1. ameline

    JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu msitu wa Amazon

    Asante interesting
  2. ameline

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Fumanizi lilivyofanyika na nina ya kusema hapa

    Usilolijua haliwezi kukuumiza. Epuka kupenda kujua jua mambo ambayo hauko tayari kuyakabili. Acha yakupite hadi hapo utakapokuwa tayari kuyakabili.
  3. ameline

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili jimbo la Kigamboni na Ubungo-NEC

    Kumbee Nlikua Natafakari tu watawapunguza vipi maelfu ya watu na watawauliza maswali gani? Na je watasoma saili zote? Au ndo pata potea
  4. ameline

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili jimbo la Kigamboni na Ubungo-NEC

    Kumbee Nlikua Natafakari tu watawapunguza vipi maelfu ya watu na watawauliza maswali gani? Na je watasoma saili zote? Au ndo pata potea
  5. ameline

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ya kilokole, jamani mnafeli wapi wapendwa?

    Nlishawaambia walokole wapi biblia imesema usikate uno? Wapi imesema style gani itumike kudinyana? Wapi imesema denda marufuku? Msisingizie biblia bana raha ya mapenzi uyajue uyapende na uyafanye ipasavyo.
  6. ameline

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupika bata

    Asante sana najifunza
  7. ameline

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupika bata

    Kumbee, asante ndugu
  8. ameline

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupika bata

    Ntaanza kumuogopa bata sasa
  9. ameline

    JamiiForums Tanzania Soda zinazeesha

    Soft drinks[emoji16]
  10. ameline

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba mgumba au ambae hayuko tayari kuzaa

    Wewe si ulisema hutaki kuzaa sababu unakwepa majukumu? Mbona wasema tena ni matatizo ya kiafya? Bora uweke wazi shida yako je umewahi kuwa shoga? Je una maambukizi ya hiv? Je una matatizo ya uzazi? Hapo ukiweka wazi utapata ambaye ataridhika na hali yako yeyote, coz love doesn't ask why
  11. ameline

    JamiiForums Tanzania Soda zinazeesha

    Inawezekana nini[emoji38]
  12. ameline

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina above 35yrs kinachonishangaza siku hizi kila mwanamke ninayemuona namtamani

    Ukiona mgonjwa anakula sana ujue anakaribia kufa[emoji851]
  13. ameline

    JamiiForums Tanzania Jikoni Leo -Bamia,Kwanini Wanaume wengi Hawali?

    Bamia ni nzuri.sana kwangu mume wangu anapenda sana maana ni mwanamazoez anasema zinasaidia joints zisikaze, pia mimi hupenda kuzipika na samaki, nyama, ndizi, ama zenyewe tu kama mboga, napenda pia kuzisaga nakunywa kama juice. Asante dr MziziMkavu
  14. ameline

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupika bata

    Asante sanaa [emoji179]
Back
Top Bottom