Recent content by amed

  1. amed

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Kwa wale wenye MAN TRUCKS AND BUSSES mnaweza kuniona kwa chochote kikikusumbua
  2. amed

    JamiiForums Tanzania Magari aina ya BMW na Mercedez Benz huwa na matatizo gani?

    Kulingana na nature ya Tanzania. Brand ya gar hizo ni changamoto sana kupata vipuri na fuel consumption yake iko juu. Hivyo inapelekea watu kupendelea gar ambazo upatikanaji wa vipuri ni rahisi zaidi
  3. amed

    JamiiForums Tanzania Msaada anayejuwa unywaji wa mafuta alteza

    Ulaji wa mafuta kwa gari kwa gari ni kuangalia kwanza engine yako ina cc ngapi? Baada ya hapo. Gari aina moja same cc..same horsepower ya engine. Ila ulaji wa mafuta ukawa tofauti kwa sababu nyingi sana. Moja wapo ni hizi 1. Dereva uendeshaji wake 2. Aina ya tair unazozitumia 3. Umezijaza upepo...
  4. amed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kukabiliana na hali ngumu ya familia

    Mimi ni kijana nipo chuo, ni mwaka wa saba sasa toka baba mzazi afariki. Yeye ndiye aliyekuwa kama kiongozi wa familia maana alikuwa mfanyakazi serikalini mama yeye ni mama wa nyumbani tu. Tokea mzee afariki mpaka sasa familia yangu haina chanzo chochote kwa ajili ya kuingiza kipato kwa ajili...
  5. amed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulioacha na kuachwa tukutane hapa kwa ushauri

    Jaman aliyeachwa wa kike Njoo in box
  6. amed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlio na wapenzi tu kama huna usifungue hapa, unaweza pata madhara

    inasikitisha sana, kama unatafuta mpnz then gharama zinakushinda, plz tafuta wa uwezo wako c unakuwa na mpenzi kwa sifa afu unamkimbia, inaonyesha una udhaifu dukan, ipo siku ata mke wako utamkimbia..
  7. amed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maswahiba karibuni mie ni wenu tujuaneni, wala sibagui jinsia

    Asante
  8. amed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki wa jinsia zote kutoka Tanzania wa kuchat nao hasa wenye fikra pevu

    aya tuchat
  9. amed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    salama nipo mimi njoo inbox
  10. amed

    JamiiForums Tanzania MMU Sunday Talk; I love u all, naamini unajisikia furaha kupendwa

    nampa salamu mamndenyi mungu ambariki
  11. amed

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    S.1274/0058/2007
  12. amed

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    S.0775/0050/2011 s.0321/0038/2011
  13. amed

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    Asante sana
  14. amed

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    S.3884/0101/2009
Back
Top Bottom