kabugira
JF-Expert Member
- May 14, 2014
- 1,186
- 659
Umetumwa eheeee.....!sasa kama nina hamu ya kutongozwa ww kinachokuuma nin..au we shoga unaona wivu soko lako litapungua?
Nu bhabwire mayi!
Umetumwa eheeee.....!sasa kama nina hamu ya kutongozwa ww kinachokuuma nin..au we shoga unaona wivu soko lako litapungua?
tatizo la wahaya nyu.ke zimejaa maji!!!
Bado subir ukifika 25 ndo uanze harakati your too young aisee 23. We men tukioa tu tunabanjua mimba sasa for your age subir via vya uzazi name nyonga vikomae yaan viwe matured enough
hilo nalo nenona ndio maana nikasema me mhaya ili watu kama nyie ambao mna aleji msisumbuke..
na kama kuna sheria ya kumkataza mtu kua desparate kashitaki polisi..Period
Salama Jay unaonekana ni jeuri wewe na hiyo si sifa nzuri kwa mke mtarajiwa. Kuna imani kuwa mabinti wa Kihaya ni wajeuri na wajuaji. Je,unataka kuwathibitishia hilo ilihali bado unatafuta?!
Mimi nigedhani sasa hivi ungejitahidi kuficha makucha yako. Hata hivyo nikupongeze kwa ujasiri wako. Kila la kheri ktk kufanikisha hitaji lako.
Salama leta basi feed back cos it has been two years now ,,so have u get ur hubby😕😕 or ur still looking for😉😉
I wanna come pm but sitaki kukusumbua ikiwa umepata😛😛
Nu bhabwire mayi!
the feedback is..nilipata mtu hapahapa shortly after kupost..tukaanzisha mahusiano,i loved him..he loved me...tatzo likaja kwenye ndoa..yy mkristo mim muslim,wazazi wake wanaamini muslim tuna majini..hvyo tukasitisha mahusiano..

Ni vizuri mtu akakufahamu ulivyo...kama ww ni mchafu,mvivu,mjeuri kuliko kukuona malkia alafu mkifika kwenye ndoa mnaanza kukorofishana