MMU Sunday Talk; I love u all, naamini unajisikia furaha kupendwa

Orrionorri

Member
Oct 17, 2014
21
5
Salamu za upendo kwenu wadau wa MMU na JF wote kwa ujumla, toka kwenye vilindi vya moyo wangu. Nakuomba nawe pia, uchukue fursa hii kumpa salamu mtu mmoja au zaidi mwambie unampenda na kumthamini, na Mungu atakubariki.
 
Salamu za upendo kwenu
wadau wa MMU na JF wote kwa ujumla, toka kwenye vilindi vya moyo wangu.
Nakuomba nawe pia, uchukue fursa hii kumpa salamu mtu mmoja au zaidi
mwambie unampenda na kumthamini, na Mungu atakubariki.

https://m.facebook.com/profile.php?v=timeline&filter=1&page=1&sectionLoadingID=m_timeline_loading_div_1414825199_0_36_1&timeend=1414825199&timestart=0&tm=AQCM65BzlewOs_P3&id=296088503929563&_mn_=11&refid=17

da sijui nimpende nan ngoja narud.
 
Orrionorri

Hiyo link ya facebook inahusu nini?

hi Preta nawapenda sana wana-MMU wote, nawatakia jumapili njema.

Hiyo link ya fb ni ukurasa wangu wa salamu za upendo kutoka Huduma ya Maombi Maalum/
Special Prayers Ministry. Karibu tushiriki pamoja kuiombea nchi yetu dhidi ya gonjwa hatari la ebola.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom