Magari aina ya BMW na Mercedez Benz huwa na matatizo gani?

Kulingana na nature ya Tanzania. Brand ya gar hizo ni changamoto sana kupata vipuri na fuel consumption yake iko juu. Hivyo inapelekea watu kupendelea gar ambazo upatikanaji wa vipuri ni rahisi zaidi
 
Kulingana na nature ya Tanzania. Brand ya gar hizo ni changamoto sana kupata vipuri na fuel consumption yake iko juu. Hivyo inapelekea watu kupendelea gar ambazo upatikanaji wa vipuri ni rahisi zaidi
Hii kauli haina ukweli magari kama Ford,Bmw au Mercedes matumizi ya mafuta ni kawaida Sana na pia vipuli vipo tuu ingawaje bei ipo juu ila sio vya kubadilisha mara kwa mara kuliko haya magari mengine...
 
Benz maintenance take ipo juu mkuu. Shocks peke ake ya bei ya chini ni 400-600 laki hii naongelea C class.
Ukija Benz kama S class shock take unapata kwa 2.5 mil each.
Hii ni moja ya sababu watu wanakimbia hizi gari ila in nzuri sana kwa upande mwingine maana ukifunga spare unasahau.
Nakaribisha maswali zaid nitajitolea kuyajibu kuhusu gari hizi.
Nataka kununua benz c~class mkuu naomba msaada
 
Hayo ni magari ya kifahari.

Kwa hiyo bei pamoja na gharama za matunzo ni kubwa.

Sijawahi kuona gharama za kubadili oil za BMW zilizo chini ya dola 50 za Kimarekani.
Nenda pale the Hague Centraal, utakuta msululu wa Benz, tena zile Classic, zimepangana kama Taxi. Waholanzi wanaziitumia sana kama Taxi, nadhani hata wajerumani wenyewe
 
jaji mfawidhi imekuaje hiyo benz ikafika 70milion wakati hilo ni toleo ni la mwaka 2008 kwenda chini...duu kwa hiyo kuleta ya 2015 si itakua balaa hiyo kodi yake...
Benzi haipitwi na wakati , sisi kwetu Mzee wangu alikuwa na cl 140 ya mwaka 1980 na bado ipo njema kabisa, ukulizia bei ni ghali na matengenezo ni ghali, sasa SERIKALI INAWEKA USHURU MKUBWA ili kulinda hadhi ya BENZI huku vi-baby walker kama vits na ist mkiwekewa ushuru sawa na bure, yaani unaagiza gari kila kitu unalipa milioni 12 tu, yaani bure kabisa.
 
Nissan hana Nyota Sana
Ukigusa Design yao ya Magari aise hata Hayavutii
View attachment 443327 View attachment 443328 Ongeeni kuhusu sijui BMW, Merc.., ila mnyama huyu hapa Nissan Fuga..., ni mtamu kuliko utamu wenyewe.
View attachment 443327
 
Bongo sijawai waelewa watu
Uko sahihi sana. Utaona wabongo Harrier zote wanaziita Lexus. Lexus RX wanaziita Harrier. Hata vijiko vinatofautiana.
Huwa naona Gari unakuta ni Lexus ila kwenye zile Logo kama zibenadilishwa ivi mi huwa nahisi mwanzo ilikua Harrier sasa kwa nini wafanye vile? ni kitu kidogo ukikitizama ila nahisi kuna kitu apo yani Ukicheki Logo ya Mbele pale kwenye show case Nyuma kwenye Starring zote zimechezeshwa kwani kuna nini hasa hapa?
 
Haya magari pamoja na Audi mbona engine size kubwa sana?
Unakuta gari ndogo tu size ya IST lakini engine cc 3150
 
Benzi haipitwi na wakati , sisi kwetu Mzee wangu alikuwa na cl 140 ya mwaka 1980 na bado ipo njema kabisa, ukulizia bei ni ghali na matengenezo ni ghali, sasa SERIKALI INAWEKA USHURU MKUBWA ili kulinda hadhi ya BENZI huku vi-baby walker kama vits na ist mkiwekewa ushuru sawa na bure, yaani unaagiza gari kila kitu unalipa milioni 12 tu, yaani bure kabisa.
Mkuu mfumo wa bei ya spea wa Benz wanao na landcruiser hizi mikonge ni kwamba bei zake zimesimama vile vile hakuna kisichopitwa na wakati na unapoona bei ghari ya magari hapa kwetu ni Kodi Mkuu ila hayo magari ni bei ya kawaida huko nje Mercedes Benz SA ndio gari zipo nyingi na bei yake used ni ya kawaida mno mno tatizo ni Kodi ndio maana unaona yanafika kwa gharama kubwa...
 
Back
Top Bottom