charldzosias
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,448
- 3,334
Hii ulaji wake si wakutisha kutokana na uwepo wa VVT-I... engine ni Beams 4 cylinder..(3sge-D;VVT-i).... kwa engines nyingi za 3s.. hasa hizi N/A zinakula vizuri.. pia kwa 3sgte nazo zinakula vizuri.. so kwa wazee wa mbio ukipata 3sgte-vvt-i inaokoa wese sana na mbio unapata ....
ANGALIZO
kwa experiance yangu.......... 6cylinder na 4cylinder.. /// 4 cylinder inakunywa kuliko 6cylinder kwa upande wa Altezza... so gari kuwa 6cylinder or 4cylinder haimaanishi ulaji mwingi upo kwa 6cylinder.... pia ulaji wa mafuta hutegemea na UJAZO wa cylinder (CC) cubic centimeters