Tanzania ili kupaisha uchumi wa inchi tunapaswa kuboresha nyanja zifuatazo .Utawala Bora ,Afya,Kilimo,ukusanyaji wa kondi,Uhuru wa vyombo vya habari,bunge nk,Siasa safi,Amani. nk,
1.UTAWALA BORA;kuwa na uongozi unaozingatia sheria na misingi ya maadili,kukemea ubadhirifu,rushwa,unyanyasaji na...