Recent content by Ambiele Kiviele

  1. Ambiele Kiviele

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Walikuwa wanasubil game ya Portugal Vs Mexico ndio ilikuwa ya mwisho, Shot story Mkeka ukachanika
  2. Ambiele Kiviele

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomben Odds 7 tuu waungwana
  3. Ambiele Kiviele

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mzee tengeneza mwingine tuweke mzee
  4. Ambiele Kiviele

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Nimeona wanaume wawili wakipost mtoto mmoja na caption Ile Ile "back to school my son", but anyways Acha mtoto asome.
  5. Ambiele Kiviele

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    No utasikia tunasubil bunge la bajet!!! Ah ah ah
  6. Ambiele Kiviele

    JamiiForums Tanzania Bunge laondoa kigezo cha kupitia JKT na JKU kuajiriwa vyombo vya ulinzi

    Yani hiki kigezo kilikuwa kinawanyima vijana wengi frusa na ukiangalia kwa asilimia kubwa izi taasi ndo zinabeba idadi kubwa ya vijana upande wa ajira like Uhamiaji, zima moto, migration, TAKUKURU n.k Walikuwa wanazingua sana, huna kambi za kupeleka vijana wote JKT ila kazi zikitoka unabagua...
  7. Ambiele Kiviele

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Kuna baadhi ya changamoto zinatusaidia kujua uhalisia wa roho za watu tulionao karibu kwamba ni watu wa aina gani kwetu.......
  8. Ambiele Kiviele

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uwezekano wa kupata kazi migodini?

    Habar kiongoz tunaweza kuzunguza private?
  9. Ambiele Kiviele

    JamiiForums Tanzania FaizaFoxy: Nasaha na Ushauri wa kijamii usio wa kawaida. Nakaribisha maswali

    FaizaFoxy ukimaliza ichi kisa ulicho anza nacho, Ningependa kusikia upande wa pili wa Maisha Yako ya ndoa, Mpaka Leo hii kwa ujumla yawezekana tukajifunza mengi kupitia wew. Shule sikwenda kusomea ujinga
  10. Ambiele Kiviele

    JamiiForums Tanzania Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

    Jinsi unavyoandika unaonesha ni wa kuhurumiwa tu. Shule Ulienda kusomea ujinga
  11. Ambiele Kiviele

    JamiiForums Tanzania Sukari imepanda Bei. Hapo ulipo bei ipoje?

    Achen kelele hilo mbona jambo la kawaida sana, Mnapiga kelele kanakwamba nyie ni wagen ktk mambo hayo, tulien bhana
  12. Ambiele Kiviele

    JamiiForums Tanzania SGR kuwashwa Januari 24, tiketi zagombaniwa kama njugu

    Nilisha sahau kama Kuna kitu kinaitwa SGR
  13. Ambiele Kiviele

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Maafisa wa TRA (TMU) wakishirikiana na Wakala wa bandarini kuwadhulumu wasafirishaji

    "Maelezo Yako hajajitosheleza" Msaada utakao upata ni mdogo sana vinginevyo leta maelezo yenye ushahid wa kutosha
  14. Ambiele Kiviele

    JamiiForums Tanzania CEO wa Simba mashabiki walistuka kwamba wewe ni Yanga. Nimeanza kuamini

    Bongo uchawi mwingi sana, uchawi sio lazima yausike matunguri
  15. Ambiele Kiviele

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana shuhuda mbalimbali za Waganga wa Kienyeji

    Daaah uyo mzee alikufa bhana nilipata bahat ya kutubiwa nae baada ya miaka kadhaa kwenda ku renew dawa nikaambiwa mzee alisha kufa, ikabid nitibiwe na mtoto wake japo dawa hazikuwa nzur kama mwanzon
Back
Top Bottom