Recent content by AmaniMpigaPicha

  1. AmaniMpigaPicha

    Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

    Shukrani uzi wako! Linux ndio uwanja wa kucheza ngoma zote, Windows zipo ngoma utacheza ila mdundo hautasikika! Ubuntu, Linux Mint na Kali Linux ndio niliowazoea(Hata sasa natumia Ubuntu 16.10)
  2. AmaniMpigaPicha

    Wosia wa Le Mutuz kwa wanaowaza kwenda nje

    Hahaha! Nimekuelewa! Naona nimetumia jibu hasi moja kwa moja! Kwa ufupi niko kwa watu na ninajionea mwenyewe, wengi hawapendi kujenga utamaduni kama wa nyumbani. Ila tukikutana Sitimbi ndio wa kwanza kukupigia simu muonane! Sio wote wako na tabia hii ila asilimia kubwa ndio mwendo wao.
  3. AmaniMpigaPicha

    Wosia wa Le Mutuz kwa wanaowaza kwenda nje

    Kukopa kwa kutumia Credit Card, kwani mwisho wa mwezi lazima urudishe chao. Hii inakua ngumu kwa sababu moja kubwa, mabenki mengi ya Tanzania hayatoi huduma hii kwa watu wote. Sasa ukiwa mbele na ukawa na credit acc/card na umepewa limit ya kutumia mpaka dola 4000 kwenda juu! Watu wengi huwa...
  4. AmaniMpigaPicha

    Telegram ni bora kushinda Whatsapp Mara kumi

    Telegram iko na billionea wa Russia, ila kabadilia uraia kwa visiwa wa vya uingereza Caribbean.
  5. AmaniMpigaPicha

    A day in the Buddhist college

    Nimeipenda sana hii, Good for you bro!
  6. AmaniMpigaPicha

    Mbinu za kutozungumza broken English

    Nadhani kutumia "like" itakua vyema zaidi.
  7. AmaniMpigaPicha

    Mbinu za kutozungumza broken English

    Please call Juma for me! Nahisi hapo ni sahihi
  8. AmaniMpigaPicha

    USB Internet yangu inasumbua

    Unatumia Android toleo lipi?
  9. AmaniMpigaPicha

    WhatsApp Encryption

    La ziada! Baada ya wote kuwa na toleo jipya la WhatsApp, mnatakiwa A ascan code kutoka WhatsApp ya B kutumia simu! Au kufananisha number ambazo utakazo tumiwa
  10. AmaniMpigaPicha

    Tanzanian made clean animations

    Naona uko na kipaji kizuri na cha kipekee!
  11. AmaniMpigaPicha

    Tanzanian made clean animations

    Kazi Nzuri Good Guy! Always start from the bottom!
  12. AmaniMpigaPicha

    Jinsi gani ya kuingiza miziki na video kwenye iphone

    Download ITunes kutoka kwa website ya Apple, kisha fanya installation. Baada ya hapo weka nyimbo unazotaka ziwepo kwa simu kwenye ITunes. Kisha plug simu kwa pc yako na sync kupitia ITunes. Natumaini nitakua nimekusaidia.
  13. AmaniMpigaPicha

    Unataka kujifunza programming?

    Location aliyopo NullPointer kuna tofauti kubwa ya masaa! Nahisi mpaka sasa bado kalala!
Back
Top Bottom