Gunst
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 3,142
- 6,032
Father, which position i am in your birth?Baba mimi ni mtoto wangapi kuzaliwa?....
Nirekebishie hii kwa kimombo mkuu
Father, which position i am in your birth?Baba mimi ni mtoto wangapi kuzaliwa?....
Nirekebishie hii kwa kimombo mkuu
Kha! Hii english ya sanawari mkuubecause of me call juma
haha kwanini masta!..Kha! Hii english ya sanawari mkuu
Hahahahah...Gera ra hiabecause of me call juma
Please call Juma for me! Nahisi hapo ni sahihiyou you me me and and you know what i mean
Call me James
Nadhani kutumia "like" itakua vyema zaidi.Would you mind a cup of tea?iko sawa hii?
call juma(please)Niitie juma !
Unaisemaje kwa kimombo
Upo sawa sana.Tatizo wewe ndio unataka kutafsiri word to word and not meaning ya sentensi ndio maana utaona kua kuna sentensi hazina tafsiri...
Tatizo letu wabongo tunataka word to word... Ndio maana broken inaingia kirahisi ktk mazungumzo yetu.
".. Baba mimi ni mtoto wangapi kuzaliwa? ".... Sentensi hii ukitaka kuitafsiri word to word tutakesha hapa lakini ukitafsiri mantiki ya sentensi naamini jibu litapatikana,
Hii inaenda sawa kwenye baadhi ya sentensi ulizozitolea mifano hapo juu, wewe unaziona hazitafsiriki ktk lugha nyingine kwakua unataka neno kwa neno, otherwise zina tafsirika sana tu, tena zoote hapo.
Tena ni zaidi ya Komedi.Aiseeee....!!!! hii ni bonge la comedy kuna vichekesho hapa ni balaaa.... tupu
Mkuu pamoja na ujuzi wako katika lugha ya kingereza, umetuangusha waswahili wenzako unapotumia neno Subili badala ya Subiri..Subili!
Yes, I am very serious! Katika matumizi ya l au r kwangu huwa ni changamoto sana na hii inatokana na athari ya lugha mama (lugha ya kwanza).Mkuu pamoja na ujuzi wako katika lugha ya kingereza, umetuangusha waswahili wenzako unapotumia neno Subili badala ya Subiri..
Are you serious..
Call Juma for meyou you me me and and you know what i mean
Call me James
Jibu lilishatolewa hapo juu.kuna moja skusikia jbu lake.pale ambapo upo na baba yako unataka kumuuliza"baba mimi ni mtoto wa ngap kuzaliwa ktk familia yetu?" kwa kiingereza sasa.........
In which number am I in the family lineagekuna moja skusikia jbu lake.pale ambapo upo na baba yako unataka kumuuliza"baba mimi ni mtoto wa ngap kuzaliwa ktk familia yetu?" kwa kiingereza sasa.........
Jibu lilishatolewa hapo juu.