Recent content by amaniluhuha

  1. amaniluhuha

    Je,unataka gari ya bei ya Rahisi?,pitia hapa!

    Mmm nasikia halufu ya utapeli.
  2. amaniluhuha

    TUCTA na Vyama vya Wafanyakazi, huu ndo muda wa kutetea wafanyakazi. Acheni kuwa mabubu, hali mbaya

    Tangu serikali ianze uhakiki,haki za wafanyakazi zimesimamishwa kama kupandishwa daraja, na increment ya kila mwaka vyote hivi hadi Leo wafanyakazi hatujui ndo vimefutwa hivyo au tuendelee kusubiri. Lakini vyama vya kutetea haki za wafanyakazi vipo na vingine kama CWT kila mwezi wanawakata...
  3. amaniluhuha

    NAHITAJI MSAADA WA KARIBU

    Wana jf mi ni mwanafunzi Wa Kampala university nachukua degree ya pharmacy BUT ninapoingia bord ya mkopo kuangalia kama nimepata mkopo nimekuta hivi YOU'RE NOT ALLOCATED A HIGHER EDUCATION LOAN FOR ANY 2016/2017 IN THE FIRST BATCH. Sasa wadau haya maneno yana maana sijapata mkopo kabisa au...
  4. amaniluhuha

    UJANGILI: Mtoto wa Mbunge ajinasua jela kwa Sh. Milioni 138

    Mi naona ili tumalize ujangili raisi aanze kuwasaka wanasiasa kwanza
  5. amaniluhuha

    Nimemsikitikia sana huyu kijana kwa kukosa mkopo

    Hii serikali Mungu anaiona we waache.............
  6. amaniluhuha

    KIWANJA KINAUZWA

    Kiwanja kinauzwa Eneo: kipo MWANZA- KISHIRI. Ukifika kishiri unashuka sehemu inaitwa Chadema, ukishuka ili kukikuta Kiwanja unatembea dk 15. Kiwanja kina urefu wa miguu 40 na upana miguu 18. Wasiliano. 0715581532 Email: amaniluhuha@gmail.com Au...
  7. amaniluhuha

    Jamani natafuta mganga wa kienyeji

    Waganga hawatatui matatizo hayo unayoona bali atakuongezea matatizo. Kwa sababu giza na giza vikikutana jibu lake ni giza totoro, wewe unahitaji nuru ili uondoe ilo giza na nuru inapatikana kwa Mungu pekee tu . OMBA SANA, KANISANI NENDA, NA SOMA SANA NENO LA MUNGU
  8. amaniluhuha

    Waziri Kairuki: Baada ya uhakiki wa vyeti, tutahakiki matumizi ya mishahara kwa watumishi

    Tunapo weka habari kama hizi zinazogusa taifa kwa ujumla ni vizuri utuambie chanzo cha habari hii, kama tamko hili kalitoa kwenye gazeti utuambie au kwenye vipindi vya tv utuambia ili tuwe na uhakika na kile unachokisema. Waziri amesema, amesema wapi? Katumia njia gan kusema ilo jambo. Ni...
  9. amaniluhuha

    Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako afuta posho za kusahisha mitihani ya Mock na NECTA

    Hii kazi ni kuipa kisogo na kugeukia kazi zingine za kujiajili hasa kilimo kwasababu hata wabane vp watu watakula tu.
  10. amaniluhuha

    Wanaume acheni kutuchafua, tupeni raha

    Monicca inaonyesha jinzi gani ulivyo malaya..................
  11. amaniluhuha

    Hivi tumemkosea Mungu nini Watanzania?

    Kwali hii ndo tz mtu aliyejitoka kuwa kiongozi anarudi tena[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
  12. amaniluhuha

    Nang'atuka kwani ualimu siyo baba yangu wala mama yangu

    Uko sahihi na maamuzi yako lakini angalia unaweza ukaenda mtaani ukakuta mambo ni magumu ukakumbuka misri
  13. amaniluhuha

    Ni kuhusu nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi wa serikali

    Tcu wamechukua pesa yao inayowadai
  14. amaniluhuha

    Mshahara wa September vipi watumishi?

    Maana yangu ni hii tukitegemea nyongeza ya mshahara hatutafanya kazi maana haipo, saivi wafanyakazi tufikiri namna ya kujiongezea kipato kama unaeneo la kulima lima, kama unaweza kufunga funga,
  15. amaniluhuha

    Mshahara wa September vipi watumishi?

    Hakuna kitu ukitaka nyongeza fanya kazi kwa bidii
Back
Top Bottom