Jamani natafuta mganga wa kienyeji

Jamani natafuta mganga wa kienyeji

Imani hizi bwana dah...Yaani hapo uneshindwa kabisa kushirikisha ubongo wako na kujenga imani kwamba umerogwa.. anyway watakufuata inbox
 
Waganga hawatatui matatizo hayo unayoona bali atakuongezea matatizo. Kwa sababu giza na giza vikikutana jibu lake ni giza totoro, wewe unahitaji nuru ili uondoe ilo giza na nuru inapatikana kwa Mungu pekee tu . OMBA SANA, KANISANI NENDA, NA SOMA SANA NENO LA MUNGU
 
Nina matatizo ambayo siyaelewi kabisa yamenitokea na yameendelea kuwepo!!Na mambo yangu hayaendi sawa sawa katka kila kona ya maisha yangu!! Nahis kuna nguvu Kali zinanizonga nahitaji mtaalam syo hawa wanaojitangaza wenye njaa! Wanalaghai tu watu nahitaji mganga wa kweli asiyefanyia dhiki ya hela!! Kama kuna mtu ameshawahi kupata ufumbuzi au anamjua !! Au alikua na shida nayey akatatuliwa !! Msaada!!
Natanguliza shukrani !!
Mganga wa kweli anaweza kukusaidia kweli ni Yesu ukimpata huyo basi ngoja nikusaidie jinsi ya kumpata.
Rudia maneno haya
SEMA EE BWANA YESU NIPO MBELE ZAKO NAKUOMBA UWE MWOKOZI WA MAISHA YANGU NAMI NAKUBALI UWE MWOKOZI WANGU NISAIDIE KTK MATATIZO YANGU NILIYONAYO ASANTE KWA KUNIOKOA NA KUNIONDOLEA MIZIGO NA TABU ZANGU NIMEOMBA NA KUAMINI AMENII..Mkuu utashangaa mambo yako yatakuwa salaaama na yataenda sawa achana na waganga wa kienyeji...samahani kwa mwandiko mbaya.
 
Nina matatizo ambayo siyaelewi kabisa yamenitokea na yameendelea kuwepo!!Na mambo yangu hayaendi sawa sawa katka kila kona ya maisha yangu!! Nahis kuna nguvu Kali zinanizonga nahitaji mtaalam syo hawa wanaojitangaza wenye njaa! Wanalaghai tu watu nahitaji mganga wa kweli asiyefanyia dhiki ya hela!! Kama kuna mtu ameshawahi kupata ufumbuzi au anamjua !! Au alikua na shida nayey akatatuliwa !! Msaada!!
Natanguliza shukrani !!
mkuu kama kweli upo siriasi njoo pm nikupe mawasiliano ya mtu umtafute
 
CDfblsSUUAAmvga.jpg

swissme
 
mods badili bandiko liseme hivi"JAMANI NATAFUTA KUTAPELIWA" hivi kwa akili yako yooote unayo imani na wagaga?!
 
Mshana Jr kuja huku utoe ushauri
Mtoa mada kumbuka Mungu ndio mtatuzi wa matatizo ya kibinadamu hivo cha msingi ni kumuomba tu
Funga,sali na kutoa sadaka Mungu ni mwema atakusikia
 
Jaribu pale MOI ...Muhimbili..wako mabingwa wa vichwa na mifupa...Usiache pia kumuomba Allah ajaalie wepesi katiks matibabu yako.
Sijasems naumwa kichwa wala mifupa mkuu b
 
Sijasems naumwa kichwa wala mifupa mkuu b
Ndiyo maana nikamalizia kwa kusema usisahau kumuomba ALLAH (MUNGU)ajaalie matibabu yako.Hayo matatizo yako ni ya kifkra na fikra huanzia kichwani au inaongozwa na Kichwa na huko MOI wapo mabingwa wa vichwa.Ukishakuwa na mawazo hayo ya TOBOATOBO basi ujue kichwa imekuwa mbaya.
 
Nina matatizo ambayo siyaelewi kabisa yamenitokea na yameendelea kuwepo!!Na mambo yangu hayaendi sawa sawa katka kila kona ya maisha yangu!! Nahis kuna nguvu Kali zinanizonga nahitaji mtaalam syo hawa wanaojitangaza wenye njaa! Wanalaghai tu watu nahitaji mganga wa kweli asiyefanyia dhiki ya hela!! Kama kuna mtu ameshawahi kupata ufumbuzi au anamjua !! Au alikua na shida nayey akatatuliwa !! Msaada!!
Natanguliza shukrani !!
nlipokokuwa mdogo nakumbuka kulikuwa na matatzo flan katika familia mimi na father tukafunga safar ya kwenda songea mbamba-bay kule kulikuwa na wataalam sana haswa wa kimalawi....sijui kama bado wapo so tafta mwenyej wa huko!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom