Hivi tumemkosea Mungu nini Watanzania?

Hivi tumemkosea Mungu nini Watanzania?

Puma yetu

Senior Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
111
Reaction score
126
Hivi inakuaje mtu anajiuzulu uongozi tena kwa ridhaa yake yeye, na akaombwa asifanye hivyo asubiri uchaguzi upizte, bado akalazimisha na anakumbwa na maisha magumu mtaani anajirudisha na baadhi yetu sisi tunamtaka arudi? Uwiiiiii! napiga mayowe na mshangao wa ajabu.

Wallah nimegundua na kupata jibu ni kwanini tuko mpaka Leo! Hii haipo duniani na naiona nchini mwangu tu.Kwa hakika tuna safari ndefu sana sana sana.

Huyu mtu inawezekana aliambiwa "fanya hivyo na baadaye utarudi kwenye nafasi yako maana hakuna atakayekuzuia na tutakusaidia" Sasa limetimia na kweli anapewa msaada wa kurudi ili wagombane vizuri.Aaaaahaaaa hakyanani nimeipenda sana hii.
 
Yaan inatia kinyaa sana, ni zaidi ya kukanyaga mavi asee

Anatumiwa na ccm, wanakuwaga hawana aibu, si anaona yule mwenzake wa zanzibar kapewa na uwaziri wa kilimo
 
Kumbe miaka yote CUF kimekua kikiboronga kwa sababu ya wanafki kama hawa! Sasa maalim Seif, Mtatiro na Mzee Twaha tatizo mmeshalijua kazini kamba msiachie hata kidogo.
 
Kwa kweli prof kanishangaza kupita maelezo. Angetulia na kuendelea na biashara zake angeitunza heshima yake.
 
Hapo ndipo nilikuwa napataka!
Hivi CUF nani mmiliki wa hicho chama haswa?!
Kama tunavyojua chadema ya mtei
Je CUF nani mmiliki wake?
CC wanajulikana wanayoimiliki.
 
Kwali hii ndo tz mtu aliyejitoka kuwa kiongozi anarudi tena[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Hivi inakuaje mtu anajiuzulu uongozi tena kwa ridhaa yake yeye, na akaombwa asifanye hivyo asubiri uchaguzi upizte, bado akalazimisha na anakumbwa na maisha magumu mtaani anajirudisha na baadhi yetu sisi tunamtaka arudi? Uwiiiiii! napiga mayowe na mshangao wa ajabu.

Wallah nimegundua na kupata jibu ni kwanini tuko mpaka Leo! Hii haipo duniani na naiona nchini mwangu tu.Kwa hakika tuna safari ndefu sana sana sana.

Huyu mtu inawezekana aliambiwa "fanya hivyo na baadaye utarudi kwenye nafasi yako maana hakuna atakayekuzuia na tutakusaidia" Sasa limetimia na kweli anapewa msaada wa kurudi ili wagombane vizuri.Aaaaahaaaa hakyanani nimeipenda sana hii.
Tatizo wanachama wengi wa Cuf ni watu wasio na elimu ya kutosha....lipumbaccm.
 
Fanya mambo mengine mkuu hachana na siasa utajiuliza maswali utapata majibu but hayata saidia kitu hii ndio bongoland ya viwanda
 
Vijana wa kisasa wanawekeza sana kwenye siasa na wanasiasa. Na siku watu wakisikia yule mzee wetu maarufu karudi chama chake cha zamani kuna wanaume watapatwa na uchungu wa uzazi kabisa.
 
Kuwa Prof Bongo bora ukomae na dirisha la duka kama Mangi kuna siku utakuwa Bharesa.
 
Back
Top Bottom