Sasa kama ni biashara iko mezani kwanini usiweke kila kitu open, unajitangaza lkn bado unajificha sasa utampata nani?Sina Tabia hiyo na wala sina mpango wa kumtapeli mtu,nimesema aliyeserious aje nimpe utaratibu wa kiofisi!

sa kama huna mpango huo mbona unakataa kuweka wazi adress zako? kama email,n ya simu website na picha za hayo magari?Sina Tabia hiyo na wala sina mpango wa kumtapeli mtu,nimesema aliyeserious aje nimpe utaratibu wa kiofisi!
Kama mambo ni inbox si ungetangazia inbox hilo tangazo. Ujaweka jina la kampuni wala picha au ndyo mpiga diliMkuu nicheki inbox tupeane Maelekezo kwa ukaribu zaidi,ili ujue itakugharimu sh.ngapi?
Hii ni zaidi ya Suicide BombingMkuu nahitaji Gari hizi;
Toyota Runx ,Passo na Funcargo
Haraka iwezekanavyo Mkuu...Mimi Siogopi kuzulumiwa Hata Hela naweza kukutumia Ukinipa Account yako..Hela yote.Siitaji Kukujua Mkuu...
Au Nikutumie??Au Unaogopa Pesa Za Motto??
Mi nataka nikutumie Usipoleta gari Utajua mwenyewe Ila mi nakuwa nimeshakutumia Hela...
Jamaa una mikwara ya hatari[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu nahitaji Gari hizi;
Toyota Runx ,Passo na Funcargo
Haraka iwezekanavyo Mkuu...Mimi Siogopi kuzulumiwa Hata Hela naweza kukutumia Ukinipa Account yako..Hela yote.Siitaji Kukujua Mkuu...
Au Nikutumie??Au Unaogopa Pesa Za Motto??
Mi nataka nikutumie Usipoleta gari Utajua mwenyewe Ila mi nakuwa nimeshakutumia Hela...
mkuu unatokea sumbawanga sio bure....natania tuMkuu nahitaji Gari hizi;
Toyota Runx ,Passo na Funcargo
Haraka iwezekanavyo Mkuu...Mimi Siogopi kuzulumiwa Hata Hela naweza kukutumia Ukinipa Account yako..Hela yote.Siitaji Kukujua Mkuu...
Au Nikutumie??Au Unaogopa Pesa Za Motto??
Mi nataka nikutumie Usipoleta gari Utajua mwenyewe Ila mi nakuwa nimeshakutumia Hela...
Well said and its true!Gari inayouzwa dola 500 Japan, ambayo ni sawa na Mil moja ya hapa hadi isafilishwe hadi hapa itakuwa ni kama dola 2000 na ushee, hiyo ndo CIF hizo ni kama 4.5mil sasa songombingo za TRA na the same amount 4.5mi kwahiyo the cheapest car ever ya kuagiza ambayo ipo fit ni kati ya sh 8mil had 9 .kwahiyo Gari ya Mil moja hakunaga. Hata ukipewa Gari bure Japan bado 6 to 7 Mil itakutoka
Nipe namba yako MKUUHabari,wakuu kama kuna mtu anataka gari nzuri,kwa bei nafuu!ani pm gari zipo kuanzia milioni moja na kuendelea tunakuagizia kutoka Japan baada ya mda mfupi tu utapata gari yako!.
Na gharama zote mpaka kulitoa bandalini no shi ngapiHabari,wakuu kama kuna mtu anataka gari nzuri,kwa bei nafuu!ani pm gari zipo kuanzia milioni moja na kuendelea tunakuagizia kutoka Japan baada ya mda mfupi tu utapata gari yako!.
Mkuu kama bado unataka gari tuwasiliane inbox,hapa hakuna utapeli kwa sababu unafanya biashara na kampuni sio mtu binafsi na taratibu zote za kisheria zinafuatwa!
Weka hapa kila mtu aone kwa yy kakuuliza inbox?Mkuu nicheki inbox tupeane Maelekezo kwa ukaribu zaidi,ili ujue itakugharimu sh.ngapi?
Jf watusaidie watu kama hawaMuwe makini sasa hivi utapeli upo kila kona. Gari la 1m au mkokoteni.....