Recent content by Amanikwanzaa

  1. Amanikwanzaa

    JamiiForums Tanzania Inasemekana lakini🤣

    Dah Mimi nilishasahau, Kuna mmoja humu nilimpenda hakunielewa kwa Aibu nikabadilisha prof😁, Maisha yakaendelea.
  2. Amanikwanzaa

    JamiiForums Tanzania Mshikaki tsh 100; Hivi hawa wananunua nyama kilo shingapi?

    Nauona mchanganyiko wa wanyama, ukichanganya unapata nyama+bei nafuu=100/200🤨
  3. Amanikwanzaa

    JamiiForums Tanzania Je, Watumiaji wa JamiiForums Wako Salama Kweli? Siri za Privacy Baada ya Jukwaa Kufunguliwa!

    Kila mtu anajipambania roho yake, Mimi naona kila mtu apambane kivyake, kisipokulamba arhambdurlah
  4. Amanikwanzaa

    JamiiForums Tanzania Anaweza kuondolewa Madarakani, Iwapo...

    Jamaa naona mizizi yake imeenda mbali kuliko ush@ung@i but tusubiri, mda utasema.
  5. Amanikwanzaa

    JamiiForums Tanzania Nyie Wahudumu wa Mabaa na Makaunta

    😁😁 nikama sote humu tunauza bar👉, but ujumbe umefika na wahusika wapokee💪
  6. Amanikwanzaa

    JamiiForums Tanzania Zamani raha hiace Tsh. 3800

    Mimi nimelisoma lote, Nauri ya kurudi nyumbani ni 10000, gari liuzwe 3000😁😁 usicheze na akili yangu aisee.
  7. Amanikwanzaa

    JamiiForums Tanzania Nyie mmepata mshahara wa mwezi huu wa saba?

    Watu wamesubiri mpaka Jana saa 5 usiku horaa, dah kuishi kwa kutegemea kila mwisho wa mwezi ni kama indirect depression 😁
  8. Amanikwanzaa

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya

    Sasa Mimi naanza kuiona katiba, lazima wasielewane wao ili mambo yanyooke😁
  9. Amanikwanzaa

    JamiiForums Tanzania Kutamani Dunia ifike mwisho, Nani mwingine aliwahi pitia hali hii?

    Pole, Mimi ninapitia ugumu wa kiuchumi kwanza mwezi huu 6 nimetimiza miezi 5 sijawahi badilisha ugali, Ajabu nyingine naanza kukosa mboga kabisaa, ila nakomaa, nakaza roho, naamini nitapita TU😥.
  10. Amanikwanzaa

    JamiiForums Tanzania Hivi Wenzangu huwa mnakula vyakula Gani?

    Dah haya maisha wengine hata Aina moja tu nikunangana.
Back
Top Bottom