Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,976
- 4,315
- Thread starter
- #21
We kuweza 😁😁Suluhisho ni kupunguza Kula mara kwa mara au kutokula kabisa.
We kuweza 😁😁Suluhisho ni kupunguza Kula mara kwa mara au kutokula kabisa.
Ndio; tena bila kusahau kachumbari yenye pilipili-mwendokasi kwa mbali.Mboga za majani na matunda
Matunda ninayokula mara nyingi ni ndizi, maembe,nanasi chungwa na chenzaSijaona Uyoga hapo wala mihogo na halafu vp. mkuu ww hulagi matunda??
Jitahidikula pale unapokua na njaa tu,sio muda ukifika,kingine jaribu kubadilisha mpishi.Mwenzenu maisha ni kama yananichanganya maana suala la mlo limekuwa kizungumkuti
Najikuta mzunguko wa chakula changu ni ule ule
wali, samaki, maharage
Ugali, samaki, dagaa, vegetables
Viazi , bc
Kiasi kwamba nimefikia hatua naghailisha kula kwasababu sion kipya Cha kupika au kupikiwa nalala tu na njaa zangu
Kuhusu nyama Mimi ni miongoni mwa watu wenye allergy na nyama hakuna nyama yoyote ninayoitumia duniani
Wenzangu nisaidie kunitajia aina nyingne za vyakula japo nikajaribu maana repeating Meal inaelekea kunishinda kbc
Siku nyingine, mara moja-moja toka kajilipue huko mahotelini na usisahau kasungura ushushie.Mwenzenu maisha ni kama yananichanganya maana suala la mlo limekuwa kizungumkuti
Najikuta mzunguko wa chakula changu ni ule ule
wali, samaki, maharage
Ugali, samaki, dagaa, vegetables
Viazi , bc
Kiasi kwamba nimefikia hatua naghailisha kula kwasababu sion kipya Cha kupika au kupikiwa nalala tu na njaa zangu
Kuhusu nyama Mimi ni miongoni mwa watu wenye allergy na nyama hakuna nyama yoyote ninayoitumia duniani
Wenzangu nisaidie kunitajia aina nyingne za vyakula japo nikajaribu maana repeating Meal inaelekea kunishinda kbc
Mkuu jibu lako lina ukatili sana😄Kunywa konyagi
Mkuu kichwa changu n chepesi sana nikiweka konyangi lazma mtasikia tibisii wakinitangaza kwa runingaKunywa konyagi
Mkuu, mbona hutaji yale matunda ambayo ni lishe na dawa papo hapo? e.g. Stafeli, Fenesi, Bamia, Pasheni n.k.Matunda ninayokula mara nyingi ni ndizi, maembe,nanasi chungwa na chenza
Oh! Kama ndo hivyo;Jitahidi kunywa juisi halisi ya kujitengenezea nyumbani mwenyewe e.g. ya ukwaju, ya parachichi, ya ubuyu n.k. alimradi tu isiwe ya kiwandani.Mkuu kichwa changu n chepesi sana nikiweka konyangi lazma mtasikia tibisii wakinitangaza kwa runinga
Hapo labda fenesi na pashenMkuu, mbona hutaji yale matunda ambayo ni lishe na dawa papo hapo? e.g. Stafeli, Fenesi, Bamia, Pasheni n.k.
Hahahahahaaaaa GTWenzako tushswahi shindia
Ugali mlenda miezi 2 non stop na shavu lilitutoka
Ova
Mkuu hivyo vyakula umevitaja ulaya bei ghali sana ispokuwa viazi ulaya. Dagaa kilo tu ni laki na nusu hadi laki mbili na ni snacks za mbwa. Samaki, unga, viaz vitamu na mboga za majani bei yake imechangamka.Mwenzenu maisha ni kama yananichanganya maana suala la mlo limekuwa kizungumkuti
Najikuta mzunguko wa chakula changu ni ule ule
wali, samaki, maharage
Ugali, samaki, dagaa, vegetables
Viazi , bc
Kiasi kwamba nimefikia hatua naghailisha kula kwasababu sion kipya Cha kupika au kupikiwa nalala tu na njaa zangu
Kuhusu nyama Mimi ni miongoni mwa watu wenye allergy na nyama hakuna nyama yoyote ninayoitumia duniani
Wenzangu nisaidie kunitajia aina nyingne za vyakula japo nikajaribu maana repeating Meal inaelekea kunishinda kbc
Pole sana kwa kutokula nyamaMwenzenu maisha ni kama yananichanganya maana suala la mlo limekuwa kizungumkuti
Najikuta mzunguko wa chakula changu ni ule ule
wali, samaki, maharage
Ugali, samaki, dagaa, vegetables
Viazi , bc
Kiasi kwamba nimefikia hatua naghailisha kula kwasababu sion kipya Cha kupika au kupikiwa nalala tu na njaa zangu
Kuhusu nyama Mimi ni miongoni mwa watu wenye allergy na nyama hakuna nyama yoyote ninayoitumia duniani
Wenzangu nisaidie kunitajia aina nyingne za vyakula japo nikajaribu maana repeating Meal inaelekea kunishinda kbc
Jitahidi pia ubadili aina ya mapishi !
Sio kila siku umekariri samaki lazima aungwe na mamichuzi......
Siku mchukue mmbich, Chemsha tu na viungo kula na ugali.....
We Jamaa; ina maana hauyajui hata yale matunda pori? Matunda ya Aina aina yapo ni mengi mno huko maporini ushindwe wewe mwenyewe. Huko mjini mmekomalia eti maembe, mananasi, machungwa na machenza ambayo hustawishwa katika mashamba tena kwa kutumia viuatilifu (dawa za kuua wadudu).Hapo labda fenesi na pashen
Bamia nikila nahisi kutapika kwasababu ya Ile hali yake ya kuvutika kwahy nimejikuta inanishinda kbc