Recent content by Amandusybest

  1. Amandusybest

    Mchumba wangu ana mimba ya mwanaume mwingine

    Ishii naee ilihalii anaupendo juu yako
  2. Amandusybest

    Aliniacha,sasa anataka turudiane na mimi sina mpango nae

    Hi jf naomba kuuliza hivi kama MTU mlishaachana kwa sbabu kataka yeye koz eti mko mbali na wakati hakujua kazi na wasifu wako katika jamii afu baada ya kama miaka miwili akajua upon university na hujaoa ,na akatafuta contact zako akazipata na akakupata hiv inawezekana kurudiana naeeee,na wakati...
  3. Amandusybest

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Habari mkuu naomba kuuliza, ninawezaje kuongeza urefu , ukubwa na uimara wa penis yangu hadi inchi 6.5 maana penis fupi inch 4.0, sipat raha kabisa ya tendo la ndoa, tafadhali naomba msaada wowote hata ushauri au solution ntashukur sana, wahusika weny elimu kuhus mambo ya uzazi nisaidien niko...
  4. Amandusybest

    Naombeni Ushauri: Niliachana Nae Miaka 4 Iliyopita na Sijawahi Kuwa na Furaha Tena (inanisumbua Sana

    Duuh ebana pole sana but cha kufanya jitaidi kwa kila hali uzungumze na x wako maana dawa ya moto ni moto hata kama ni mkali/mkubwa kiasi gani, na utakapoendelea kuongea naye hata stori za kawaida na sio mapenz ndipo taratibu tatizo litakuwa linaishia polepole, amini hili na hakikisha...
  5. Amandusybest

    Eti kujichua kuna kunasababisha kumchukia mwanamke?

    Je, ni kweli kupiga punyeto kunaweza kuchangia mtu kumchukia mwanamke siku akikutana naye baada ya tendo? Naomba kufahamu kutoka kwa wataalamu jamani
  6. Amandusybest

    Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

    Hey jamani, hiv ni perfume na lotion ipi ambayo ni special kwa mwanaume kuitumia maana zinanishinda kuditamaini, so naomba nisaidiwe kutoka kwa specialists people waliosomea haya, asante.
  7. Amandusybest

    Msimamo wangu

    Umejishushia hadhi hata kwa mungu wako bila kujijua tayar ushaaribu mbint
  8. Amandusybest

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Jamani nini dawa ya kumaliza kabis tatizo la fangas sehem za siri make zinawasha mno ni hatariii, so naombeni msaada juu hili watalaam wa maswala ya uzazi
  9. Amandusybest

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Habar yako na heshiima zikufunike, nasikia kuna vidonge vya kumeza ili majipyasinisumbue milele, plz naomba nijuze ni vidonge gani
  10. Amandusybest

    Kumfanya mwanachuo kuwa mkeo

    Hiv ni vema kumfanya mwanachuo kikuu mwenzako kuwa mkeo? Na je ni madhara gani yanayoweza kukukuta we kama boi na yakakuaribia misheni zako?
  11. Amandusybest

    Je, kuna madhara gani kiafya usipofanya mapenzi kwa muda mrefu?

    Asante mtaalam umenipanua kiakil, mung akubarik
  12. Amandusybest

    Fanya hivi kumpata anayekufaa

    Hii safi nimeipenda jamaa
Back
Top Bottom