Ally Mayai Tembele alipata division 0 form 6 au form 4

hahaahaaa nikajua ulimaanisha mtu hali mayai wala tembele kumbe jina la mtu klhaaaa
 
Akili yako imefika mwisho. Mbona jina lake halijakatwa kama hana cheti. Sasa tudhibitishie cheti aliweka cha nani?
 
We kweli wakusoma naona bado unasoma kaendelee kusoma ili uwajue wasomi kama akina Ally Mayai
 
Kuwa mchambuzi wa habari za michezo kwenye TV haitoshi kumpa Ali Mayai dhamana ya kuendesha Moira TZ. Amefanya nini kwenye ulimwengu wa soka zaidi ya kucheza na kuchambua michezo?
 
Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..

Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza TFF??

Mkibisha hii naleta jingine.
Alipata zero angekuwa ameshatumbuliwa na cheti feki...kwanza ujue ni afisa biashara wizara ya viwanda...,usituletee umalinzi hapa
 
Kuwa mchambuzi wa habari za michezo kwenye TV haitoshi kumpa Ali Mayai dhamana ya kuendesha Moira TZ. Amefanya nini kwenye ulimwengu wa soka zaidi ya kucheza na kuchambua michezo?
Mayai amekuwa nahodha wa timu ya taifa, leo anatokea kijusi mmoja anauliza kafanya nn kwenye soka!!!!!
 
Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..

Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza TFF??

Mkibisha hii naleta jingine.
 
Kwa Maneno Tu Trump asingekua rais wa marekani leo, Ulikua wapi siku zote usiseme hayo?tena ingependeza kama ungeleta vyote kabisa manake umesema una data kamili.

Ila kabla ya Kuleta ya Tembele tunaomba na Vyako kwanza tufanye comparison
 
Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..

Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza TFF??

Mkibisha hii naleta jingine.
Alipata zero, sawa. Baadae aliacha mpira akarudia mtihani akafaulu, akaenda CBE (Advance Diploma) then Mzumbe Masters in Businness Administration. Unataka kutuambia nini?
 
Kwani malinzi ndie pekee anaegombea nae? Unaweza kuta mshindani wa malinzi akawa wala sio huyo Mayay hivi uwaoni kina madega na nyamlani! Huyo mayay mnamshabikia nyie msiopiga kura wenzenu uko hawana hata time nae.
Ila mbona uko huku Uzi wa Ally usiende huko ambako kuna washindani wa malinzi hofu nini hasa
 
Kuwa mchambuzi wa habari za michezo kwenye TV haitoshi kumpa Ali Mayai dhamana ya kuendesha Moira TZ. Amefanya nini kwenye ulimwengu wa soka zaidi ya kucheza na kuchambua michezo?
Tuwekee vigezo vya kuwa mgombea hivi Moira ndo uchafu gani
8c4636198864c0b3d7fe0ca039f059c2.jpg
 
Back
Top Bottom