Je, kuna madhara gani kiafya usipofanya mapenzi kwa muda mrefu?

Amandusybest

Member
Jun 2, 2015
18
3
Je, kuna madhara gani ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu kama miaka 3/4 kiafya.

Ilihali unaendelea kutekeleza majukumu yako kwa ajili ya kufurahisha maisha baadae, na huna response yoyote ya kufanya mapenzi au kuwa na mahusiano ya aina yeyote kimapenzi.
 
Hakuna madhara kama una stamina maana ugumu sio masiala, ila kisaikolojia sio nzuri. Kama hutakua makini unaweza pata madhara ya kisaikolojia.
 
hakuna madhara... ila kama tayari uliishawahi kufanya hapo kabla itakuwia vigumu kidogo hasa kifikra mpaka uzoee ila sio tatizo..
Pia inategemea umri wa mtu na jinsia. But all in all HAKUNA MADHARA.
 
Ongeza speed ya mazoezi kubadili hizo sperms kuwa chakula cha mwili then ziyeyuke...
Sipati picha mzigo wa kwanza kuutoa ukikutana na mwanamke...
 
Je, kuna madhara gani ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu kama miaka 3/4 kiafya.

Ilihali unaendelea kutekeleza majukumu yako kwa ajili ya kufurahisha maisha baadae, na huna response yoyote ya kufanya mapenzi au kuwa na mahusiano ya aina yeyote kimapenzi.




    • Madhara ya Kutoshiriki Tendo la Ndoa kwa Muda Mrefu



      Aise, kwa kawaida kama wewe si mgonjwa wa aina yoyote ile, kwa maana ya ugonjwa ku-offset

      system ya mwili, madhara ya kutofanya tendo la ndoa kwa muda mrefu ni makubwa kuliko unavyofikiria as long as upo ktk active range of age! madhara yapo ya Negative na positive.

      Mfumo wa fahamu (central novous system) hutumia zaidi tendo la ndoa ku-radiate energy

      inayowezesha ubongo pamoja na mifumo mingine ya mwili kufanya kazi zake vizuri bila msongo.

      Suala hapa si lazima uke na uume kukutana na kuingiliana (penetration) ila tu stimulation(msisimko)

      inayofikisha mtu kileleni (orgasms). kwahiyo, nature(asili) inataka mke na mme kufanikisha zoezi hili maana ni jambo muhimu kama ilivyo kutoka jasho mwilini maana sio tu mwili unaondoa uchafu ndani

      lakini pia inacontrol joto la mwili (cooling effect).

      Anayesema amekaa zaidi ya mwaka na hana madhara.., well sikatai wala sikubali maana hatuna ushahidi nalo lakini zipo njia nyingi mbadala kama kutumia sex toys, dildo(vibrant artificial penis

      zitumiazo umeme), usagaji n.k. sasa sijui yeye anatumia ipi sababu vichocheo anavyo mwilini and, it's

      brain iniciated.

      Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo nikama haya:

      Hasira za mara kwa mara ktk mambo madogo,

      kupendelea sana kuangalia picha za uchi,

      Kusahausahau,

      Kupendelea story za mapenzi,

      Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),

      Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),

      Kuumwa na kichwa,

      Kukakamaa mgongo (wanaume),

      Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba katika usingizini wakati unapolala.

      Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),

      Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,

      Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.

 
Wakubwa polen na majukumu. Naomba niwaulize swali moja kwa moja bila kupoteza muda 1)hivi inawezekana mtoto wa kiume aliyekamilika rijali anakula na kushiba akaweza kufika umri wa miaka 28 hadi 30 bila kufanya mapenzi??? 2)Je kuna madhara yeyote mtoto wa kiume anaweza kuyapata asipofanya mapenz hadi kufikia umri wa hapo juu??maana nimekuwa nikisikia kuwa usipoduu muda mrefu unaweza kuwa gay au impotent tafadhal naomben majbu wakuu
 
Back
Top Bottom