Habari wanajukwaa, polen na majukum.
Niende moja kwa moja mwenye topic,.
N kuhusu wanaume wa siku hz kupenda wanawake wenye misambwanda mikubwa kiukweli sisi ambao hatuna misambwanda tunaumia sn, kwan hao wenye misambwanda mikubwa wana tofauti gan na sisi wenye misambwanda midogo? Utakuta upo na mumeo ila akiona tu msambwanda mkubwa umepita
lazma ageuke na anabadilika kabsa sura cjui anakua anapata hisia gan sijui, yaan mnatufanya mpk tunaanza kujiingiza kwenye kuanza kuyabust mwisho wa cku tunaishia kutumiwa bila kuwekwa ndan na michina yetu. Huu si uungwana kabsa hebu badiliken wanaume