Recent content by Alzadawi

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabila gani nibora kwa kupata Mke ambaye anaweza kufaa nakushi mazingira yeyote

    watu wa visiwani kama wangazija nao vipi?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mkenya (miaka 13) agundua njia ya kuwatisha simba

    Boy scares off lions with flashy invention By Teo Kermeliotis, for CNN · Richard Turere, 13, has found an innovative way to protect his family's cattle from lions · He created "Lion Lights," which keeps the predators away from the family's enclosure · The...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Malawi: Lake Malawi Dispute Instils Fear in Fisherfolk

    Yah na nimesoma gazeti la Guardian la leo (Guradian,Tanzania) inasema Malawi wametoa leseni kwa kampuni ya Afrika Kusini kwa ajili ya kuchimba mafuta, nahisi huyu Mh Joyce mgumu!!!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Asteroid headed to heat the earth

    Kumbe tupo salama, ahsante
  5. A

    JamiiForums Tanzania Zembwela acha hizo

    Anaweza kuwa na kipaji, lakini hiyo ni fani , je huyo Zembwela amesomea fani hiyo?
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sh. 2000/=

    Yaani Papa mopao kila ukijibu unalalamika "hana shukurani", akiwa na shukrani utampa nyingi eehe?
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kubeba vyakula ili kulia maofisini ni uvivu na un-sociality behavior!

    Ama kweli maisha magumu na rahisi, ni wewe tu uamue yawe vipi (lunch 5,000/=??)
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila/CORD Aliiance launch 2013 Presidential bid with 10 point manifesto

    Kama kura zikiwa kipindi hiki Jubilee wako 47% wao CORD 40% kwenye moja ya sample ya watu 1700 hivi ktk moja ya mtandao wa kijamii
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

    Sawa Swts, japo hata pa kuanzia sipaoni
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu anamringishia nani.....?

  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba/mume wa kuanza naye maisha ya ndoa

    Aisee kumbe upo serious? ulivyoniambia unaniacha nilidhani utani? kila la kheri dadangu mchango nitatoa
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

    Du sina bahati hiyo hivi kweli wapo wadada waatoa ofa ???sina bahati basi
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani nisaidieni, Pepo Kali la Ngono linanimaliza...

    Mbona hesabu haziingii, kama kila siku 1 au 2 lazima upate huduma hawa 25 mbona kama wachache sana, au huwa wanajirudiarudia. Kama ni hivyo hawa ni wachache sana na unaweza kupunguza idadi yao polepole mpaka akabaki mmoja au (watatu ili usiache ghalfa unaweza kupata matatizo)
  14. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake sio ndugu zetu

    Yah , hii kweli ni kali
Back
Top Bottom