Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,227
Ha ha ha ha ha, una mameno wee mtoto
Yan sijuw dunia ya sasa inaelekea api maan.. Imagine hata hao wa ukweli waliooa..wanatongoza wadada na mabinti wa ukoo mzima!!!
Ukimpata wa ukweli either akili zake za kitoto..hamuendanii.. Ama ndo uamsho af we wa kakobe bas tabu tupu!!
Ukija alie atlst ndo material,basi ndo mr .sina,hali mbay kila sikuu..umpe wewe hata vocha!
Yan kilichobaki ni kumuomba Mungu kumwambia unachotaka,unaemtaka na kuwa na imani utampata..otherwise duh utajikuta unatumika kama sabuni..tena ukute bdo mashalah mjini sura na umbo..vyote vipo..uwiiii anakufanya show room!!