Kuna wilaya moja nilichungulia nikaona hapa nitaomba, tena waliweka siku ya kazi saa 4 kama vitakua tayari, ajabu muda ulipofika vyote vimechukuliwa
Majuzi wametoa tangazo kwamba ambao hawajalipa wanatoa miezi 3 wawe wamemaliza malipo
Kimbia mbio, toka nduki hapo anakuigizia huyo, utampenda na kumtengenezea mazingira mwisho wa siku ataondoka tena na kuolewa na mtu aliyekuzidi kila kitu,
Mzee tumia akili usitumie hisia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.