Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,586
- 9,815
Kuna viashiria vinapelekea niamini kuwa huyu bilionea wa Simba huenda ni tapeli.
1. Alishawahi kusema kuwa ameinunua timu ya Simba na ndiyo kitu cha thamani anacho miliki. Ikumbukwe kuwa HAJAWAHI kukanusha kauli hii.
2. Interview ya Mh. Murtaza Mangungu aliyofanya na Crown FM alidai kuwa kuna wakati matapeli fulani waliandaa nyaraka zinazo onesha kuwa timu ya Simba imeuzwa kwa mtu binafsi.
Sijajua ni kwanini walimkatisha na kumwongoza kuendelea na mambo mengine kwa kisingizio kwamba watampa nafasi siku nyingine ili aelezee jambo hilo.
Sasa mnadhani huyo tapeli aliyeandaa nyaraka za kuuziwa timu ni nani?