girls are so cheap
Surely my dear. Wanawake ndio maana wanadanganyika kwa urahisi. No wonder shetani aliamua kumdanganya kwanza Hawa katika Maandiko matakatifu. Unajua Adam asingekubali upuuzi wa hsteani! Sasa mtu humjui historia yake, iweje ujiweke rehani kwake? Akikuchinja je? Dada ulihitaji...
Dah! Hiyo ngumu kujua bana! Lakini imani yetu ni kuwa hawa ni madogo wa street! Wameula hawa. No longer street children. Dunia bana usikate tamaa. Jitumeni madogo wengine, sio mnalala tu :sleep::sleep:
Wakuu, mimi ni mwalimu wa somo la Uchumi. Tayari nina ajira yangu hapa Dar es salaam. Kama kuna mwanafunzi anahitaji mwalimu wa ziada (tuition) kwa ajili ya somo hili, au kama kuna Taasisi inahitaji mwalimu wa part time kwa somo hili, naomba mni PM au mawasiliano namba 0712 682 475. Asanteni kwa...
Habari zenu waungwana? Kama kuna mtu au shule inahitaji mwalimu wa part time wa Economics nipo hapa Dar es salaam. Uzoefu wangu ni miaka 12 ya kufundisha kwa mafanikio makubwa katika shule kubwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.