Part time teacher of Economics in DSM

Part time teacher of Economics in DSM

ALPHAYO13

Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
15
Reaction score
3
Wakuu, mimi ni mwalimu wa somo la Uchumi. Tayari nina ajira yangu hapa Dar es salaam. Kama kuna mwanafunzi anahitaji mwalimu wa ziada (tuition) kwa ajili ya somo hili, au kama kuna Taasisi inahitaji mwalimu wa part time kwa somo hili, naomba mni PM au mawasiliano namba 0712 682 475. Asanteni kwa ushirikiano wenu!
 
Unajua Econometrics mkuu? Nahitaji unifundishe hiyo, topic ya Multilinear Reg-ration Models: Heterogeinety
 
Rafiki nakushauri jibane sana usome masters ya uchumi then uje uombe kuwa lecturer. Nakwambia utapata coz walimu wa uchumi vyuoni hakuna kabisa.bt make sure gpa yako ya undergraduate haiko below 3.5
 
Hahahahaha mkuu walimu hawagusag econometrics,,nlivokua nachukua bachelor ya uchumi pale mliman walimu wa Eco,,walikua wanaishia intermediate level tu,,,econometrics kunawatu wamespecialize kabisa,,si kile lecture wa eco anaeza fundisha econometrics,Pambana sana mana econometrics una uzito wake,
 
Rafiki nakushauri jibane sana usome masters ya uchumi then uje uombe kuwa lecturer. Nakwambia utapata coz walimu wa uchumi vyuoni hakuna kabisa.bt make sure gpa yako ya undergraduate haiko below 3.5

chuo gani hakina waalimu?
 
chuo gani hakina waalimu?

Mfano ardhi wanahitaji mwalimu wa econometrics.IAA wanahitaji walimu wawili wa uchumi coz last time walitangaza wakakosa. Mimi hapa mwenyewe nafundisha moja ya vyuo vya umma uchumi na bado kuna upungufu.pia sua walitaka mwalimu wa uchumi muda si mrefu wakakosa.
So ninaposema waalimu wa uchumi kwa vyuo ni shida najua ninachokisema. Hata hivi vyuo unavyodhan vina waalimu wa uchumi wa kutosha ni vile wanalazimisha tu kutumia hata walimu ambao sio wachumi ila walisoma uchumi km somo tu.
Kwa Tanzania hadi sasa vyuo ambavyo vina staff wa kutosha wa uchumi ni udsm,saut,mzumbe na sua kidogo.na hawa ni kwasababu walikuwa wanawasomesha sana wanafunzi wao waliowabakiza km ma tutorial assistants
 
Hao hawajataka kuajiri, watangaze kazi waone kama hawatapata. Mi nawajua watu wamemaliza Masters zao za economics na wana matokeo outstanding kabisa wanatamani kazi za ualimu hawapati hadi wanaenda kufanya kazi zingine
 
acha uongo GMK, udsm na ardhi kwa mguu unatembea dk 20 iweje hawana walim wakati udsm wamejaa? hata wa tempo amekosaa?
Vijana zaidi ya 40 wapo udsm kufanya mastaz na phd ndo washndwe kuwapa tempo?
ungesema ukiritimba na ukale wa vyuo hasa vya umma kufanya ubabe tu!
 
Ecometric ilitaka kunikwamisha undergraduate..!
 
Hao hawajataka kuajiri, watangaze kazi waone kama hawatapata. Mi nawajua watu wamemaliza Masters zao za economics na wana matokeo outstanding kabisa wanatamani kazi za ualimu hawapati hadi wanaenda kufanya kazi zingine

Hawajataka kuajiri kivp wakati nakwambia walitangaza na wakakosa mtu.ok tufanye hivi.km kuna mtu ana masters ya uchumi na ana gpa nzuri undergraduate naomba namba zake nimuonganishe na IAA sasa hivi uone.am serious
 
acha uongo GMK, udsm na ardhi kwa mguu unatembea dk 20 iweje hawana walim wakati udsm wamejaa? hata wa tempo amekosaa?
Vijana zaidi ya 40 wapo udsm kufanya mastaz na phd ndo washndwe kuwapa tempo?
ungesema ukiritimba na ukale wa vyuo hasa vya umma kufanya ubabe tu!

Kaka ni kweli tupu. Mm ninafundisha chuo fulan hapa dar na mwalimu mwenzangu anafundisha part time hapo ardhi somo la kodi. Hivyo walimuomba awasaidie kwenye econometrics bt jamaa akaja kuniambia mm coz mm ni mchumi bt yeye alisomea mambo ya uhasibu na kodi.
Hata mm pia nilishidwa kuekewa kuwa inakuwaje ardhi wakose mwl wa econometrics wakat udsm wamejaa na hapo ni karibu.bt ndio hivyo
 
Wakuu, Niko mtaani natafuta kazi, nina masters ya Economics. Ni mtaalamu wa Econometrics, pia nina mzuri sana kurun data kwa kutumia STATA na SPSS.penye kazi wakuu tujulishane..
 
Unajua Econometrics mkuu? Nahitaji unifundishe hiyo, topic ya Multilinear Reg-ration Models: Heterogeinety

Mie naweza kufundisha econometrics kama upo serious nipm no yako tuanze kazi
 
WOR not brother, kazi zipo serikali watatoa post
 
Wakuu kwa wenye experience..je wanaosoma course za biashara ngazi za diploma mf.dip in accountancy au business admn nao wanasoma introductory economics? kama ndio je mwl wa uchumi kama huyu mwenye uzi huu anaweza kufundisha? na je wanasoma course za economocs..naomba kwa anaefaham wakuu
 
Hawajataka kuajiri kivp wakati nakwambia walitangaza na wakakosa mtu.ok tufanye hivi.km kuna mtu ana masters ya uchumi na ana gpa nzuri undergraduate naomba namba zake nimuonganishe na IAA sasa hivi uone.am serious

mpigie huyu 0685662188
 
Wakuu, Niko mtaani natafuta kazi, nina masters ya Economics. Ni mtaalamu wa Econometrics, pia nina mzuri sana kurun data kwa kutumia STATA na SPSS.penye kazi wakuu tujulishane..

Wasiliana nami kupitia namba 0758911054 nitahitaji unisaidie upande wa stata. Nitakulipa bt also nitakuunganisha na chuo wanachohitaji sana mwl wa uchumi
 
Wakuu kwa wenye experience..je wanaosoma course za biashara ngazi za diploma mf.dip in accountancy au business admn nao wanasoma introductory economics? kama ndio je mwl wa uchumi kama huyu mwenye uzi huu anaweza kufundisha? na je wanasoma course za economocs..naomba kwa anaefaham wakuu

Ndio wanasoma principles of economics. Kwa wanafunz wa diploma hata mtu ambaye hakuspecialise kwenye uchumi kwenye degree yako still anaweza kufundisha coz hawa diploma wanasoma vitu rahisi sana
 
Back
Top Bottom