Msimsingizie shetani.........mbona huyo Shetani hakutumi ukaibe Benki
anakutuma kuparamia papuchi tu
Tatizo la kutumwa na shetani huwaga haliishi hata ukiomba msamaha kwa kosa ulilofanya akikurudia unalifanya tena. Nakumbuka nimewahi kusuluhisha mgogoro wa ndoa muhusika akadai amepitiwa na shetani, nikamwambia nashindwa jinsi ya kukuombea msamaha kwa sababu sina uhakika kama shetani akikupitia tena hutorudia kosa. Ni upuuzi mtu kumsaliti mwenzako halafu ukamsingizia shetani.