kuna wanawake hawakatai

kuna wanawake hawakatai

Status
Not open for further replies.
Ukipewa bila kuomba ndio tatizo, sas unaomba alafu unategemea, alichopewa na mungu kumnyima mwenzako
 
Mkuu hata ukiomba kwa mungu lazima uangalie mazingira ukijichanganya tu kazi bure nipo saizi job nimetest kuimbisha mfanyakazi mwenzangu nimekubaliwa yaani wanawake ni pasua kichwa

wanaume pasa moyo!!!!
 
Halooooo kama unaomba kwa kujaribu nami nakubali kwa kukujaribu......kabla hata hujahema nakupiga mzinga nikiona unashangaaaa nasepa!!!!

Mimi hunipigi mzinga wowote, nakuomba unanipa then nasepa nakuacha ukinikumbuka
 
Yaani kuna wanawake hawakatai ukiomba tu hata ulikuwa unajaribu utasikia tu unaambiwa ni wewe tu na akija tena mwingine anakubaliwa hawariziki miili yao walishaitoa sadaka kama yesu msalabani

Sijui wewe ni dini gani, lakini kulinganisha sadaka ya Yesu msalabani na wanawake wasiojiheshimu si sawa!
 
Sijazidi mkuuu kuwa ombaomba ila yeye ndio kaanza eti ananitania baby lini unanitoa out wakati anajua ninamke kabisa kama yeye ndio hana akili nimemwambia alipie ghalama za out

Ameona labda una vitabia hivo
 
kwa nini na wewe unaomba kwa utani? unakuta kuna kitu anataka kwako ndomaana hakatai
 
Last edited by a moderator:
Yaani kuna wanawake hawakatai ukiomba tu hata ulikuwa unajaribu utasikia tu unaambiwa ni wewe tu na akija tena mwingine anakubaliwa hawariziki miili yao walishaitoa sadaka kama yesu msalabani

Inaonyesha hauna adabu kabisa nimekudharau mwili mzima.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom