Recent content by Alpaslan

  1. Alpaslan

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Yap hapo kwenye umri inawekana japo kwenye Tangazo sijaona kigezo cha umri kuwa mwisho 30 Yrs bali 45 Yrs.
  2. Alpaslan

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Aisere msaada tutani kuna nafasi ya Management officef 11 ya hazina wametoa ...na vigezo wanahitaji mtu aliyesoma pamoja na Accounting...Mie nimesoma.Bcom Accounting ..nikiapply inanikatailia..sijui shida itakuwa nini
  3. Alpaslan

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mie nataka kujua hapo... Hivi mfano unaambiwa utapigwa simu....Na bahati Mbaya muda wanakucheki uko sehem ambayo haina network au hujapokea kutokana na majukumu mbalimbali. Je kuna utaratibu wa kuacha meseji au watakurudia tena?
  4. Alpaslan

    JamiiForums Tanzania Oral nterview ya Uhasibu Sekretarieti ya Ajira

    Nashukuru nimepata madini na mini...Tutakuwa wote kwenye hiyo interview.... Mungu atusaidie tupite maisha ya kitaa sio kabisa kwa kweli.
  5. Alpaslan

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nimeleta ombi ..naamini kuna wajuvi humu wanaweza kuwa wanalink hizo watanisaidia..
  6. Alpaslan

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ndugu naomba msaada kama kuna group la interview ya wahasibu la kudiscuss mambo. Hususani Accountant 11.
  7. Alpaslan

    JamiiForums Tanzania Bei ya mahindi Songea

    Bei kwa sasa kwa kilo ni Tsh 500 ila ukiwa na 550 unachukua ya kutosha....
  8. Alpaslan

    JamiiForums Tanzania Tumefanikiwa kupata habari kamili na location kuhusu, madai ya uwepo wa ukatili sugu kwa mtoto, Mtaa wa Kidemi

    Ni kweli kabisa...Kituo cha Huduma kwa Jamii imekaa vizurii sana.
  9. Alpaslan

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hivi ndo kusema Written interview zimesimama maana hatuoni mablinkblink watu tuna received tunataka tusonge mbele tuanze kutoa ushuhuda humu .
  10. Alpaslan

    JamiiForums Tanzania Yanga wasema hii ya tarehe 25 tunacheza, haina kipengele kipengele uje nacho wewe!

    Hii sasa Yanga tumeipokea
  11. Alpaslan

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nachofahamu ...Jina la Baba la Mwisho ambalo ni Minja ndio jina lako la mwisho sasa hapo kuna Kalolo ...Je hilo ni jina la nani tena?...la ukoo au la baba yake na babako.
  12. Alpaslan

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ushauri...nenda eneo ulilopata cheti cha kuzaliwa ukabidilishe hicho cheti cha kuzaliwa ili majina yafanane na vyeti ni rahisi na haichukui muda... Kinyume na hapo itakusumbua mbeleni huko
  13. Alpaslan

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    H Hongera aiseee .... Naamini Mungu atatenda kwetu pia.
  14. Alpaslan

    JamiiForums Tanzania Kuzuiliwa kuingia kwenye usaili utumishi

    Hii imekaa vizuri hapo kwangu nahisi ni Affidavit tu... Kichwa kilianza kuuma hapa kuanza kupambana na madeedpoll.
Back
Top Bottom