Recent content by aloycev

  1. A

    Kwa Hotelia yeyote na anayependa kafanya kazi ya hotel porini!

    kazi bado zipo jameni, watu wanaacha kila siku,,,,jitoseni wadau
  2. A

    Natafuta kazi

    katika safari ya maisha, kabla hujafanikiwa inabidi ukubali kudhalilika, kila la kheri katika utafutaji wako
  3. A

    Kwa Hotelia yeyote na anayependa kafanya kazi ya hotel porini!

    Tupia CV sasa, uschelewe ukakuta mwana si wako
  4. A

    Precisionair.

    are you fluent in English, Swahili, and Chagga??
  5. A

    Wanaotaka kuhama kazi ofisini ni Wengi Kama graduates wanaotafuta kazi

    Mwandishi wa hicho kitabu ashafilisika, endelea kudanganyika tu hvohvo
  6. A

    kwa wasio na ajira walio Dar es salaam inatuhusu.

    Watu 100 ni wengi sana, lazima kutatokea kutofautiana kwa kiasi kikubwa, ni hulka ya mwanadamu
  7. A

    Kwa Hotelia yeyote na anayependa kafanya kazi ya hotel porini!

    Kivipi aisee? elezea vizuri kinagaubaga iwe faida na kwa wengine wasiingie mkenge
  8. A

    wanaume wa kiafrika bana....

    funga ndoa na maghorofa ya kariakoo bas, maana ww shida yako majumba na mahela
  9. A

    msaada rafikiye wife

    Nani atajua?? wee kandamiza tu laa sivyo tutakupeleka The Hague for crime against womanity
  10. A

    Jhpiego kiini macho cha ajira

    Ama kweli kitanda usichokilalia, kunguni wake huezi kuwajua
  11. A

    Jhpiego kiini macho cha ajira

    Hiyo novel unayosoma ndio inayokudanganya, si bure
  12. A

    Jhpiego kiini macho cha ajira

    Hata kuvolunteer ishu, lazima awepo mtu ndani wa kukukingia kifua mwanzo mwisho
  13. A

    Feed back ya interview infinity...

    Asee watu wa tiGo bima washaitwa kitambo, kama bado hujapigiwa mpaka dakika hii faham fika kua maombi yako yamegonga ukuta
  14. A

    Mipango ya mapumziko ya mwisho wa mwaka

    nenda Mpumalanga, S.A
Back
Top Bottom