msaada rafikiye wife

msaada rafikiye wife

jaman dunia inamambo! mke wangu alikua anakuja narafikie hm cha ajabu rafikie alikua mtu wautani sn kama nilivo me. siku hiz haish kunipigia cm mpaka sa 6 ucku na me np mbali na wife kwan np mwanza kikaz wf yupo dar chuo.anapopiga cm huongea maneno yakimapenz na mitego nikahic bado utan! wf kumbe alishagundua kitambo na aliambiwa na rafikie mwingine kua rafikio anamtaka mmeo hivyo kuwa macho na wife kanambia hayo juz2 baada kuona rafikie kaongeza kas!.sasa naomben ushaur namna ya kukata mawasiliano nae.binafc sina mpango wakumla na naipenda ndoa yangu.

dunia ina mambo kweli na usipoangalia utapoteza ndoa yako kwa huyo mjinga..

huna haja ya kujikausha, mwambie ukweli mtumie sms ya ukali mwambie akome kabisa upuuzi wake apeleke huko huko..tena mwambie ushamwambia wife wako kuhusu hiyo tabia yake ya kukupigia simu hadi usiku wa manane na kuongea lugha ya mapenzi..
anatakiwa ajue kuwa mkeo amejua huo u*s*h*e*nzi wake..huyo sio rafiki ni mkia wa fisi na mkimuendekeza atawafilisi..
 
Let's assume, you are Iniesta na mimi ni Messi.., hope u know wat am seyini...:glasses-nerdy:
 
makubwaaaa

yaani unashindwa kumkoremea?

kumwambia hutaki simu na message za kipuuzi? halafu nyie ndo vichwa vya familia?

halafu kwa nini mtu anakupigia saa sita usiku unapokea?

unamuentertain then unaomba ushauri??????/
 
Divert NAMBA iende kwa mkeo, halafu mwambie atume meseji ndio utamuelewa.pia kuelezea mkeo aache kuleta mashoga nyumbani.
we kyanaKyoMuhaya!!ushauri gani sasa huu!!unataka huyo mwanamke aishi kama kisiwa asitembelewe hata na shoga zake!!!hapo atakuwa anaikimbia dhambi siyo kuishinda!
 
Last edited by a moderator:
Mwambie kuwa huna mpango na mkeo anajua kuwa anajilengesha kwako ili asikusumbue na atakuwa anamkwepa mkeo.
 
Kama analipa we kanyaga tu,then kauka. Tena kula boga mwana. Mambo ya kawaida saana haya. Ila usichonge mzinga
 
mpe lara 1 hiyo kazi na namba ya huyo bidada tutamwonyesha habari ya mujini toa hiyo namba ila utoe kitu kidogo vocha na bia 5 ,atakusahau kabisa nakwambia ,tutasambaratisha hadi ubongo wake ,hizi ni ajira mjini hapa kaka yangu lol toa namba ongea na lara 1.serious kabisa .shoat nimekutafutia dili akutumie vocha kwa namba ukiingizana ukajipunguzia kwako kwanza then mfanyie kazi yake.
 
Last edited by a moderator:
jaman dunia inamambo! mke wangu alikua anakuja narafikie hm cha ajabu rafikie alikua mtu wautani sn kama nilivo me. siku hiz haish kunipigia cm mpaka sa 6 ucku na me np mbali na wife kwan np mwanza kikaz wf yupo dar chuo.anapopiga cm huongea maneno yakimapenz na mitego nikahic bado utan! wf kumbe alishagundua kitambo na aliambiwa na rafikie mwingine kua rafikio anamtaka mmeo hivyo kuwa macho na wife kanambia hayo juz2 baada kuona rafikie kaongeza kas!.sasa naomben ushaur namna ya kukata mawasiliano nae.binafc sina mpango wakumla na naipenda ndoa yangu.[/QUOTE

Sioni hata kuna haja ya kuomba msaada, umesema una mpango naye....
1, Acha utani naye akipiga ongea naye kawaida usimshereheshe/ kumu-entertain kwa utani kwani umesema na ww ni mtu wa matai

2, kama uwezi na utashindwa kwa hiyo ya kwanza basi usipokee simu zake:

NOTE:
Kuwa makini na wife wako kama atakuwa na marafiki kama huyo basi inawezekana wakawa ndio tabia mmoja...wanasema "" birds of the same feathers fly together"" take care
 
Hivi kuna kitu cha kuomba ushauri hapo???Hukujua madhara ya utani na mke wa mtu????Kweli nimeamini siwezi kazi ya kutoa ushauri!!!!!
 
dunia ina mambo kweli na usipoangalia utapoteza ndoa yako kwa huyo mjinga..

huna haja ya kujikausha, mwambie ukweli mtumie sms ya ukali mwambie akome kabisa upuuzi wake apeleke huko huko..tena mwambie ushamwambia wife wako kuhusu hiyo tabia yake ya kukupigia simu hadi usiku wa manane na kuongea lugha ya mapenzi..
anatakiwa ajue kuwa mkeo amejua huo u*s*h*e*nzi wake..huyo sio rafiki ni mkia wa fisi na mkimuendekeza atawafilisi..

thanx 4good advice
 
Back
Top Bottom