Mpaka sasa Samatta kama Samatta hajafanya lolote kwa Taifa, maganikio aliyo nayo ni yake yeye na familia yake, angalau basi hata angeanzisha foundation au hata hamasa kama alivyofanya Wanyama ningemuelewa, kumbuka Samatta si mara moja amekuja nchini, ni kipi kikubwa cha Kijamii alichokifanya...