Wadau Naombeni msaada kwa anayejua soko lenye uhitaji wa chakula cha kuku

Sam Jr official

Senior Member
Dec 21, 2017
108
100
Wadau nimekopa ela bank nikaamua kujifungulia biashara zangu, ya kwanza nlikuwa natoa ndizi mikoani naleta Dar kwa kiasi flani nilifanikiwa lakini mwishoni nikakutana na madalali feki wakanidhulumu nikaamua kuachana nayo..... sa hivi nimeleta chakula cha kuku chenye mchanganyiko wa dagaa kutoka visiwa vya Ukerewe Mwanza,kwa bahati mbaya nimekuta masoko nliyokuwa nayategemea yametema yaani hakuna uhitaji.sasa Wadau nlikuwa Naomba msaada wenu kama kuna mdau anajua sehemu zenye huitaji anisaidie niuze mzigo wangu maana sa hivi sina ela na nimechalala mbaya kabisa,nina gunia 85
 
Unauza gunia kiasi gn??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom